M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Jun 18, 2022 #1 Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jun 18, 2022 #2 Hawa Watu Shida Sana Hasa Ukizingatia Mama Amewachongea Mizinga Wanalamba Asali Tu Taratibu Sana
B Burito nyanza Senior Member Joined Jan 2, 2021 Posts 135 Reaction score 115 Jun 18, 2022 #3 Tanzania saivi hamna chama cha upinzani ambacho kitaweza kutukomboa tena.kilikuwepo kimoja ambacho kiliaminiwa na wengi lakini naona hakina ajenda na mwelekeo tena.kimepoa gafra hadi tunauliza wamelishwa amini gani.
Tanzania saivi hamna chama cha upinzani ambacho kitaweza kutukomboa tena.kilikuwepo kimoja ambacho kiliaminiwa na wengi lakini naona hakina ajenda na mwelekeo tena.kimepoa gafra hadi tunauliza wamelishwa amini gani.