Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Wengi tu. Tunaolalamika ni kina sisi apeche alolo.Wenye hela bado wapo tu wengi tembea kwenye kumbi za starehe uone watu wanavyokula maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi tu. Tunaolalamika ni kina sisi apeche alolo.Wenye hela bado wapo tu wengi tembea kwenye kumbi za starehe uone watu wanavyokula maisha
Wengi tu. Tunaolalamika ni kina sisi apeche alolo.
Wamemtoa kafara mzee Ruhr na Singa singaAwamu hii wale waliogawanaga masandarusi wanasodoa tu mdogo mdogo, maisha yanasonga wakila zao popcorn huku wanawacheki wale mnaokula msoto mkilalamikia "eti vyuma vimekaza!"
wale tusio na pesa mkuuApeche Alolo ndio nani Mkuu? Nimecheka sana
Huyo mtu uskute katokea mpakan mwa Uganda aisee... Maana watu wa hzo sehem ni balaaKuna rafiki yangu kaajiriwa mwaka huu mwanzoni juzi amenunua Passo nikampigia kumpa hongera nikamwambia "Kaka naona mambo siyo magumu kabisa" akajibu "Nasikia sikia tu watu wanadai maisha magumu ila mi siamini" alinifurahisha sana.
Hahahah ndio vile tena, watafanyaje na wao ndio waasisi wa dili chafu!Wamemtoa kafara mzee Ruhr na Singa singa
Hapa bilionea Mikwara ya andunje panamuhusu piawale tusio na pesa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] Apeche Alolo maana yake 'Hoe hae' a.k.a Kajamba NaniApeche Alolo ndio nani Mkuu? Nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23]apeche aloloWengi tu. Tunaolalamika ni kina sisi apeche alolo.
Kula maisha doesn't mean kwamba watu wana hela ni bac tyu kutoa stress mm mwenyew nina njaa kinoma ila weekend lzm unikute viti virefu nimevimbaaaWenye hela bado wapo tu wengi tembea kwenye kumbi za starehe uone watu wanavyokula maisha
Kujenga ndiyo biashara yao, na wao kukosa wateja wa kupanga vyuma vimekazaKatika Watanzania 500 badi 457 wanalia hali mbaya ya Uchumi a.k.a Vyuma Vimekaza halafu hapo hapo tena kuwa Watu wanathubutu kabisa Kujenga Maghorofa makubwa makubwa ya Kupangisha ( Apartments ) hivi humo wanategemea Kupangisha Binadamu au labda wataweka tu pengine ' Mifugo ' yao kama Kuku, Bata, Mbuzi na pengine hata Ng'ombe?
Kazi ipo hakyanani!
Nawasilisha.
Mkuu,Katika Watanzania 500 badi 457 wanalia hali mbaya ya Uchumi a.k.a Vyuma Vimekaza halafu hapo hapo tena kuwa Watu wanathubutu kabisa Kujenga Maghorofa makubwa makubwa ya Kupangisha ( Apartments ) hivi humo wanategemea Kupangisha Binadamu au labda wataweka tu pengine ' Mifugo ' yao kama Kuku, Bata, Mbuzi na pengine hata Ng'ombe?
Kazi ipo hakyanani!
Nawasilisha.