Hivi hawa Bongo Movie wanatuonaje?

Bongo movie part 1: Matangazo dk 10 Kutembea dk 20, kulia dk 15, kukumbuka tukio la zamani dk 30, watch out part 2.
Kikubwa tu mnisubiri nimalizie degree yangu ya movie production na directing nije nitengeneze movie za maana! hawa wanaigiza utumbo!

At least movie zinazorushwa star swahili (68%), hizo nyingine ni takataka!!
 
Mi huwa najiuliza mbona mtu kama irene uwoya hajawahi kuigiza mtu masikini wa kijijini? Wao kupewa position za kimjini mambo safi.
Ni kama vile unapewa position kulingana na maisha halisi unayoishi. Sijawahi muona muhogo mchungu boss wa ofisini.
 
Nafikiria mtu kama wema au irene wapewe casts za kijijini na zile tattoos wakati make up artists wetu kuzifuta ni mtihani

Kingine kubadilika character inahitaji muda hasa wa actor kufanya research ya role yake. Sasa bongo unapewa script leo kesho kutwa lokesheni, si kheri wawape Tu waliozoea hizo roles
 
Mkuu hii sio sababu......HAWATAKI

Nakumbuka mahojiano flani Aunt Ezekiel alisema mi unipe character ya u house girl SITAKI, akadai anataka character zenye hadhi kama yake
 
Mi huwa najiuliza mbona mtu kama irene uwoya hajawahi kuigiza mtu masikini wa kijijini? Wao kupewa position za kimjini mambo safi.
Ni kama vile unapewa position kulingana na maisha halisi unayoishi. Sijawahi muona muhogo mchungu boss wa ofisini.
Halafu kila mlinzi wa getini kwenye nyumba hizo za kifahari hivi ni lazima awe na akili mbovu mbovu na comedian?
 
Halafu kila mlinzi wa getini kwenye nyumba hizo za kifahari hivi ni lazima awe na akili mbovu mbovu na comedian?
Hata wanigeria wanayo hii kitu. Utamwekaje chizi getini kwako? Haiingii akilini
 
Ile asubuhi ndiokwanza mtu anaamka bado hata hajatoka kitandani unamuona na make up anang'aa kwa wanawake na lipstick kabisa,[emoji134][emoji134][emoji134][emoji848][emoji848][emoji848]!
 
Mkuu hii sio sababu......HAWATAKI

Nakumbuka mahojiano flani Aunt Ezekiel alisema mi unipe character ya u house girl SITAKI, akadai anataka character zenye hadhi kama yake
🤣🤣🤣 mkuu nakumbuka hii issue bhana.. Ilikuwa kwenye kipindi cha bongo movie cha joyce kiria, aunt alikuwa anasema kuna baadhi ya wasanii hawataki kucheza baadhi ya roles ila promo ya kipindi ikatokea hiyo sehemu anayotamka kuwa hawezi cheza kama house girls 😁😁

Unachosema chaweza kuwa kweli pia sipingi
 
Una moyo sana kuangalia Bongo Movie, pole sana kwa kupoteza muda wako
 
Kuna series izi za kiuseazi ndio zinauhalisia kma ile ya kombelela ya sinema zetu ile noma sana aisee [emoji1787]
 
ambulance huwa zinafuata watu nyumbani mara nyingi tu, ila gharama yake ni kati ya 80,000 hadi 100,000.
 
Mkuu hii sio sababu......HAWATAKI

Nakumbuka mahojiano flani Aunt Ezekiel alisema mi unipe character ya u house girl SITAKI, akadai anataka character zenye hadhi kama yake
Vichwani wamejaza matope tu akili makalioni. Nilishaacha kutazama ujinga huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…