Hivi hawa madogo wa sasa wa samba boys kweli wataifikia kiwango hii brazil ya kipindi kile

Madogo wapo fresh ila Kuna tatizo sehemu inabidi wapate mchezaji hata mmoja awe mnyumbulikaji kama kibu😁
 
Mwamba ni underrated sana
Kipindi chake majina makubwa yalikuwa mengi na yalitawala ni kama Lewandosky na Mo Salah Hawa wameshindwa kutamba sababu ya uwepo wa mess na ronaldo
 
Kipindi chake majina makubwa yalikuwa mengi na yalitawala ni kama Lewandosky na Mo Salah Hawa wameshindwa kutamba sababu ya uwepo wa mess na ronaldo
Hakika ila ni wamotooo kinoma.

Nakumbuka kulikuwepo na robben na ribbery 😁😁 aiseee
 
Soka la siku hizi na zaman ni tofauti,,, siku hizi ubishoo mwingi,,,kina raphinha, Neymar, rodryigo, vini Jr, ndo mabishoo tupu walamba midomo ndo utegemee washinde WC ? Big No ! Zamani walikuwa na watu wa kazi haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…