warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kwa uku kwetu bongo ukimuuliza mr blue msanii anayemkubali pande za obama atakwambia ni JAYZEE,na angetamani siku moja awe kama yeye au hata kuimba nae tu(japokuwa ni ndoto),wema sepetu atakwambia anatamani kuwa kama KIM KARDASHIAN au hata kujiita kimkardashian wa bongo,ukimuuliza lulu msanii anayemkubali na kutamani kufikia level kama zake atakwambia RIHHANA,ukimuuliza swali hlo sintah,atakwambia anatamani kuwa kama J-LO. kwa hadhi kubwa waliyokuwa nayo mastaa hao wakubwa duniani,pamoja na utajir walionao na wenyewe kuna watu/wasanii ambao wanawaumiza kichwa mastaa hao kwa kutamani kuwa maarufu au na mafanikio kama wao??,wasanii kama RIHANNA,CHRIS BROWN,BEIBER,JAYZEE,BEYONCE,kIM KARDASHIAN na baadhi ya mastaa wa pande hizo wameshawahi kukir au kusema hadharani kuwa wanatamani kuwa mastaa au maarufu kama mtu fulani? Kwangu mimi naona HAPANA,wewe je??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums