Hivi hawa mastaa wa mbele wanatamani kuwa kama nani??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kwa uku kwetu bongo ukimuuliza mr blue msanii anayemkubali pande za obama atakwambia ni JAYZEE,na angetamani siku moja awe kama yeye au hata kuimba nae tu(japokuwa ni ndoto),wema sepetu atakwambia anatamani kuwa kama KIM KARDASHIAN au hata kujiita kimkardashian wa bongo,ukimuuliza lulu msanii anayemkubali na kutamani kufikia level kama zake atakwambia RIHHANA,ukimuuliza swali hlo sintah,atakwambia anatamani kuwa kama J-LO. kwa hadhi kubwa waliyokuwa nayo mastaa hao wakubwa duniani,pamoja na utajir walionao na wenyewe kuna watu/wasanii ambao wanawaumiza kichwa mastaa hao kwa kutamani kuwa maarufu au na mafanikio kama wao??,wasanii kama RIHANNA,CHRIS BROWN,BEIBER,JAYZEE,BEYONCE,kIM KARDASHIAN na baadhi ya mastaa wa pande hizo wameshawahi kukir au kusema hadharani kuwa wanatamani kuwa mastaa au maarufu kama mtu fulani? Kwangu mimi naona HAPANA,wewe je??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nafikiri wao wanatamani kuwa rais au vingozi wakubwa serikalini, ndo maana Wyclef Jean alienda kugombea urais kule kwao Kuwait wakamtosa.
 
Rihanna..bado hajawa kama Madonna
Chris Brown...bado hajawa kama Michael Jackson
Justin Beiber...bado hajawa kama Elvis Presley
Jay Z...bado hajawa kama..mmmh, nani? kama Biggie 'Notorious'
Beyounce...bado hajawa kama Whitney Houston
Kim Kardashian...bado hajawa kama Marilyn Monroe

so nao wanawish kuwa kama watu hao..
 
Aaah aaah,mmh may be,but this is according to you,na nikikuuliza hao watu uliowataj nao wanataman kuwa kama nani utasemaje?,na sijaelewa umewataj hao watu kwa kigezo kipi? Umaarufu au kipato??,rihhana na madonna I thnk riri she is a star kuliko madame,but sina uhakika kama vipato vyao vinafanana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanatamani kuwa kama watu walio wa inspire kufanya kile wanachofanya
 
nafikiri wao wanatamani kuwa rais au vingozi wakubwa serikalini, ndo maana Wyclef Jean alienda kugombea urais kule kwao Kuwait wakamtosa.

Wyclef Jean hakuwahi kugombea uraisi wa Kuwait na wala siyo raia wa Kuwait. Wyclef ametokea Haiti na aligombea uraisi wa Haiti lakini akaondolewa kwenye kinyanganyiro kwakuwa hakuwa ameishi Haiti kwa zaidi ya miaka mitatu kama sheria inavyotaka wagombea uraisi wa Haiti.
 
nafikiri wao wanatamani kuwa rais au vingozi wakubwa serikalini, ndo maana Wyclef Jean alienda kugombea urais kule kwao Kuwait wakamtosa.

siku hizi apa JF ukilala kidogo lazima udanganywe kidesign fulani hivi si mnaona lakin ukiwa na wana JF makini kama money stunna adanganywi mtu apa.

Wyclef alienda kugombea urais kuwait. daa! ngoja nicheke kwanza hahahahahahahahaa wewe ni bingwa wa fix hahahahahaha .watu kama nyie mashulen mnaitwa "much know "
 
labda hujawahi kuwa serious kuwafuatulia hata kwenye show zao,huwa wanasemaga.
Snoop Doggy akianzaga show anafanya sala ya kumwombea 2 Pac ndo anaanza show
2Pac anamsifia Makiaveli.
fuatilia hata B.E.T awards huwa unakuta wanaeleza na kuwasifia waliowafanya wapende music au movies.
 
Kwa nilivyomuelewa mleta mada ni kwamba superstars wa bongo wana wish kuwa km mastar wa mbele but hakuna hata superstar wa mbele aliyewahi kukiri kuvutiwa au kutamani kuwa km superstar flani wa bongo.
 
upo wewe mzee wa toto za kiethiopia na eritrea
 
Kwa nilivyomuelewa mleta mada ni kwamba superstars wa bongo wana wish kuwa km mastar wa mbele but hakuna hata superstar wa mbele aliyewahi kukiri kuvutiwa au kutamani kuwa km superstar flani wa bongo.

No,uo muujiza hauwezi kutokea kamwe yaani beyonce atamani kuwa kama wema?? Come on dude,that's impossible,I meant wat I said wao wenyew uko majuu maana msanii kama jay z namuona yuko juu kwa umaarifu na mkwanja anao wa kutosha,je kuna mtu na yey anataman kuwa kama yeye while he has enough mkwanja na umaaruf dunia nzima?? U got meee??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi binafsi siwezi sema sana!!

ila nina ndoto ya kutokea hollywood siku moja na kuja kuwa superb kwa sana!!

a real super star through acting!

mimi ndimi minofu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom