Hivi hawa mbwa aina ya Pitbull ni mbwa halisi?

Hayo mambwa yanaua mpaka simba na tiger?????????
 
Itakuwa crossover ya nguruwe na mbwa
 
Mambo yenyewe haya ....hapana Kwa kweli
 

Attachments

  • VID-20230210-WA0007.mp4
    3.3 MB
Hakuwadhuru?
Nimekuja kugundua kuwa tulikuwa tunafuga hatari baada ya kuwajua pitbulls ukubwani. Aisee nilipowaona pitbulls nikakumbuka tulikuwa na mbwa aliyekuwa na sifa zote hasa umbo na masikio kama pitbull, na upana wa kifua. Sijui mbegu yule mzee aliipata wapi ile.

Alikuwa akituchejia mara kadhaa kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…