Wewe huwa hupendi kuhongwa dear?
Nimepita pita huku JF kutafuta waubani wa moyo wangu wadada wote wanataka hongo, rushwa na pesa,nimetafuta huko hata wa kunikopesha penzi nimekosa!.......Na ukata wangu huu jamani mimi nitakuwa mgeni wa nani?!It is the very last item in my priority list.....!!!! Siwazagi kuhongwa kama ni kitu cha priority saaaaana wakati Nina mikono 2 na miguu miwili kama hao wahongaji......!!!! Ikitokea itokee tuu by chance...lakini sio kuja huku uwanjani na kuanza kulalamika hujahongwa kodi ya Nyumba..... Pttttttuuuuuu!!!!!
Nimepita pita huku JF kutafuta waubani wa moyo wangu wadada wote wametaka hongo na pesa,nimetafuta huko hata wa kunikopesha penzi nimekosa!....... Jamani mimi nitakuwa mgeni wa nani?!
Ni kweli unahitaji muda kuelewa hii concept. Kwa maana mantiki ya swali hili anajua muulizaji.Hivi Dada unafanya Kazi na still unakuja kulalamika huku uwanjani kuwa unataka ulipiwe kodi ya Nyumba unayoishi Wewe.... Nafikiri nahitaji muda zaidi kuelewa hii concept.....
!WORD!Shida muhimu za mademu wa siku hizi ni bata...nyingine ni mizinga tu!!