Hivi hawa nao Ni husband material

Hivi hawa nao Ni husband material

Wewe huwa hupendi kuhongwa dear?

It is the very last item in my priority list.....!!!! Siwazagi kuhongwa kama ni kitu cha priority saaaaana wakati Nina mikono 2 na miguu miwili kama hao wahongaji......!!!! Ikitokea itokee tuu by chance...lakini sio kuja huku uwanjani na kuanza kulalamika hujahongwa kodi ya Nyumba..... Pttttttuuuuuu!!!!!
 
Nimepita pita huku JF kutafuta waubani wa moyo wangu wadada wote wanataka hongo, rushwa na pesa,nimetafuta huko hata wa kunikopesha penzi nimekosa!.......Na ukata wangu huu jamani mimi nitakuwa mgeni wa nani?!
 
Hivi Dada unafanya Kazi na still unakuja kulalamika huku uwanjani kuwa unataka ulipiwe kodi ya Nyumba unayoishi Wewe.... Nafikiri nahitaji muda zaidi kuelewa hii concept.....
Ni kweli unahitaji muda kuelewa hii concept. Kwa maana mantiki ya swali hili anajua muulizaji.
 
Shida za muhimu utasaidiwa kama wewe ushakuwa muhimu.
 
Back
Top Bottom