Hivi hawa vijana wanaoshindwa kufunga goli timu ya "wazee" ni vijana gani hawa?

Point yangu ni kuwa nilimaanisha sio kila unapoona zero short on target basi hakukuwa na hatari
Na aliyesema kuwa "Sio kila goli linafungwa kupitia shot on target," ni nani? Naomba niambie kuna goli gani liliwahi kufungwa kwa mpira kwenda nje ya goli (of target)
 
sio mara kumi mkuu hata iwe mara buku 2 iyo sio short on target na haitahesabiwa
 
[emoji3][emoji3]mtu kama wewe unajiita mwana michezo hujui hata goli linafungwa vipi
Nimerudia kusoma mara nne nne najaribu kuwaza anataka kumaanisha nini maana mimi naona haiwezekani kupatikana goli kupitia mashuti yanayopigwa nje ya goli. Sasa jamaa kanistajabisha aisee
 
[emoji3][emoji3]mtu kama wewe unajiita mwana michezo hujui hata goli linafungwa vipi
Kweli nilivyoandika kuna makosa ila nilikuwa namaanisha sio kila unapoona zero shot on target basi hakuna shambulizi linalokaribia kuwa goli limefanyika.
 
Mimi sio upotolo we ngedele matatizo yenu msihamishie kwetu, yale maneno waliambiwa mashabiki wa upotolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…