Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

mipango99

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
646
Reaction score
950
Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh mpaka jioni wanasubiria kwafoleni kupata nyama za warabu.

 
Hapo mbona hamna mwarabu hapo?au wapemba nao wamekuwa waarabu siku hizi!

Si kizimkazi kabisa hiyo namuona jamaa wa kipemba amemshikisha mtoto cheti sasa ndiyo sijui kama ni cha kuzaliwa au cha nini!
 
Hapo mbona hamna mwarabu hapo?au wapemba nao wamekuwa waarabu siku hizi!

Si kizimkazi kabisa hiyo namuona jamaa wa kipemba amemshikisha mtoto cheti sasa ndiyo sijui kama ni cha kuzaliwa au cha nini!
Hili ni Arabu lenyewe..kutoka huko kwenye mafuta hyo picha ni yandugu yao huko sijui kafariki cjui mgonjwa..ndo wanasomewa huku kondoo lina chinjwa asee nilishangaa
 
Hili ni Adabu lenyewe..kutoka huko kwenye mafuta hyo picha ni yangu yao huko sijui kafariki cjui mgonjwa..ndo wanasomewa huku kondoo lina chinjwa asee nilishangaa
Kama hawakulazimishi kuchukua au kushiriki mkuu hao unaachana nao,hivi ulishawahi kujiuliza ni vingapi unafanya ila wanaokuzunguka hawakuelewi but wameamua tu kuishi na wewe hivyo hivyo?

Ni situation pia upo,duniani huwezi elewa kila kitu vingine unaziba tu macho na masikio na kuacha maisha yaendelee.
 
Hii si ibada ni ushetani, ifike muda watimuliwe waondoke nchini. Ajenda yao si nzuri, hawa watakuwa wanafanya ushetani tupumbazike kwa makafara yao. Kwanza wanamaliza mifugo yetu hata kama wananunua kwa bei kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…