Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

Mzigo huo ,
IMG_20260202_170059_933.jpg
 

Attachments

  • IMG_20260202_170059_933.jpg
    IMG_20260202_170059_933.jpg
    1.6 MB · Views: 14
View attachment 3539597
Anatoa sadaka halafu ale tena yy ya nini wakati anao uwezo w Kula vitu kama hivyo Kila siku, unampa mtu kitu halafu hapo hapo ww unataka ukigawe upate, hakuna maana ya ww kusaidia sasa...Watu huaminishwa Tu vitu visivyo na ushahidi, cha msingi watu wapambane ili basi wasiingie aibu ndogo kama hizi halafu imekuwa kama hulka yetu ya kupenda kusaidiwa saidiwa, serikali inasaidiwa hadi watu pia ni hivyo hivyo.
Ukitoa sadaka ya chakula..
Kiungwana inabidi nawe ushiriki hata kula kidogo..lakini kwa mwarabu hatakugusa na mkono wake hataki nikunyosha kwa vidole
 
Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh mpaka jioni wanasubiria kwafoleni kupata nyama za warabu.

View attachment 3538497
Wapi mkuu nataman sana nyama ya kondoo
 
View attachment 3539597

Ukitoa sadaka ya chakula..
Kiungwana inabidi nawe ushiriki hata kula kidogo..lakini kwa mwarabu hatakugusa na mkono wake hataki nikunyosha kwa vidole
Wale wengi si wanachinja na kugawa nyama Kwa watu Kila mmoja akapike kwao...wao kutokula au kugusa sioni kama kuna shida, unless kama kuna masharti ya Kula hiyo nyama hapo Pana tabu lakini kama unachukua kama buchani hakuna shida, haya mambo ni mentality Tu kaka.
 
Back
Top Bottom