Hivi hawa Waarabu wanaochinja chinja makondoo daily..wana agenda gani nyuma ya pazia?

Hizo ni nyama Tu hazina kafara wala nini, hao itakuwa wanatoa sadaka na wala hakuna kudhurika mtu, mm huwa si complicate mambo maana ukifikiria Sana mambo ya agenda hutoboi, nyama tunazokula mitaani, migahawani mbona hatuulizi je unajua Hadi imekufikia imepitia mchakato upi?...Waafrika Bana.
 
Ndio wachinje kilasiku.mchana na jioni
 
Kama hawakulazimishi kuchukua au kushiriki mkuu hao unaachana nao,hivi ulishawahi kujiuliza ni vingapi unafanya ila wanaokuzunguka hawakuelewi but wameamua tu kuishi na wewe hivyo hivyo?

Ni situation pia upo,duniani huwezi elewa kila kit
Wana walazimisha wamama..kula na ubwbwa
 
Hii si ibada ni ushetani, ifike muda watimuliwe waondoke nchini. Ajenda yao si nzuri, hawa watakuwa wanafanya ushetani tupumbazike kwa makafara yao. Kwanza wanamaliza mifugo yetu hata kama wananunua kwa bei kubwa
Naitakua kweli..maana katika purukushani zawamama kugombea mmoja akamdunga kisu ya shingo mwenzake..sema hajafa
 
Mbona wenyewe..hawataki kuzila wanawaachia wamama wawatu..wanachukua wengine wanauza ..na mwarabu alivyo Majanja anawapikia naubwabwa iliawakamate vzr..na wanapumbazika kwelkwel wamekuwa ,kama mazombi nihawaelewi ,utakuta mtu kuanzia saa 11 asbuh anasubiriwa nyama mpk saa 10 anapata kanusu au utumbo
 
Anatoa sadaka halafu ale tena yy ya nini wakati anao uwezo w Kula vitu kama hivyo Kila siku, unampa mtu kitu halafu hapo hapo ww unataka ukigawe upate, hakuna maana ya ww kusaidia sasa...Watu huaminishwa Tu vitu visivyo na ushahidi, cha msingi watu wapambane ili basi wasiingie aibu ndogo kama hizi halafu imekuwa kama hulka yetu ya kupenda kusaidiwa saidiwa, serikali inasaidiwa hadi watu pia ni hivyo hivyo.
 
Sijawahi kuona watu wenye imani za kijinga kama Galatians,mtu ameamua katika pato lake kutoa sadaka ya nyama kwa masikini milokole inatoa tafsiri za kijinga
 
Sijawahi kuona watu wenye imani za kijinga kama Galatians,mtu ameamua katika pato lake kutoa sadaka ya nyama kwa masikini milokole inatoa tafsiri za kijinga
Cha bure kilienda na nyonyo ya mama tu,rest vina malipo
 
Naaman alibeba ukoma kwa kuchukua ..... Kinyemela.
Kama ilivyo kitu chochote kinaweza kubebeshwa shida/raha na Kama anayekipokea ni fala jua kasain cheki.
 
Mikoa ambayo usithubutu kula nyama ni ile mikoa wamejaa wagalatia kama mbeya, moshi au iringa, asilimia kubwa ni vibudi na mizoga ndio wanauziwa wauza mishikaki na chips.
 
Ni moja ya tamaduni za kiarabu. Wanapenda sana ''kumiliki'' watu wa classes za chini. Tatizo la utamaduni wa aina hii ni kwamba unalemaza akili, mtu mwenye nguvu anakuwa tegemezi na kuabudu binadamu wengine kama mungu watu. Ndiyo maana yote yaliyokaliwa na waarabu zamani wakazi wake hawakupata maendeleo. Kwa upande mwingine wazungu misaada yao inakuwa ni miundo mbinu ya kuinua jamii kiafya, kiakili na kimaisha.
 
Huu ujinga bado mmejizaja kichwani tokea enzi ya yule mzee mpumbavu aliitia nchi umasikini
Cha ajabu mikoa walikojaa wagalatiia kila mwaka ndio mikoa masikini, hay amaendeleo ya mzungu kwa wagalati ayako wapi ?




 
Mambo mengine ni mentality Tu ya wahusika...
 
Yani hapo niwale waliokosa wanaendelea kusubiri..mwarabu afanye namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…