Hivi hawa wadada ni watanzania?

Pamoja na kuja mjini hauna ktu bado mshamba ...unadanganywa na rangi za kununua bado haujawa mjanja unaitaji muda
mimi sikaangalia rangi wala sura, nimeangalia swagz za kimbelembele na kikristu. karibu mjini dogo!
 
mimi sikaangalia rangi wala sura, nimeangalia swagz za kimbelembele na kikristu. karibu mjini dogo!
Kweli wewe wa tandahimbaa kubaniwa pua ndio swagg... angalia utaibiwa
 
hebu rudi Tandahimba...
tokomea njawara kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
maana hawa unaowataja hawana viwango hivo
 
Google na zile zilizoko kwenye video ya SUPU ya giggy mahela.
ziko hapa(kwa wakubwa tu)supu gigy money - Google Search
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…