Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe wa tandahimbaa kubaniwa pua ndio swagg... angalia utaibiwamimi sikaangalia rangi wala sura, nimeangalia swagz za kimbelembele na kikristu. karibu mjini dogo!
Kweli wewe ni screpaAsante, yaani mjini kumbe ndo mko juu hivi, nilikuwa napitwa!
Seat ya Range Rover imeharibu shape yake ,wajua lipo laiiini (nilivyo soma kwenye insta yake)Yaani Hilo tako la Sepetuka Ni mchina dhahil shahil..
Ha ha ha mkuu bhana..Seat ya Range Rover imeharibu shape yake ,wajua lipo laiiini (nilivyo soma kwenye insta yake)
Wewe sepetu ana aina nyingi za matako aiseee hilo limeshuka kuna lililokaa kawaida ila mmmh hapanaYaani nikiangalia Hilo tako la Wema daash mchina nyoko aiseee...
Google na zile zilizoko kwenye video ya SUPU ya giggy mahela.Kiukweli kabisa mimi nimekuja mjini mwaka jana tu, yaani sikuzote nilikuwa nakaa kwetu Tandahimba ndanindani, Redio niliyokuwa nasikiliza ni RTD sasahivi inaitwa TBC Taifa. Na hata kiswahili nimejifunza baada ya kuja mjini. Nilivyokuja mjini ndio nikaanza kuwajua na wasanii sahivi nimekuwa mjanja hadi najiogopa. Swali langu ni je hawa wadada wamezaliwa Tanzania au wamekuja huku ukubwani kwa bahati mbaya? Maana tabia na swaga zao naona kabisa hawastahili kukaa kwenye hii nchi ya waswahili akina Msagasumu na ManFongo, sio type yao kabisa. Hawa walifaa sahivi wawe mitaa ya NewYork City wanakula maisha na wakina Mayweather na Justin Bieber. Ukipiga nao stori huwezi fikiri kama hata msalani wanaenda, yaani kumbe kukaa Tandahimba nilikuwa napitwa na mengi.
View attachment 410338
View attachment 410339
View attachment 410343
View attachment 410340
View attachment 410345
View attachment 410341