Hivi hawa waganda ndiyo tuliwafunga tatu bila?

Hivi hawa waganda ndiyo tuliwafunga tatu bila?

Yaani mpaka najiuliza tuliwafunga vipi,yaani Uganda wanaumwaga mwingi ,pamoja na kuongozwa lakini hili mbungi wanalolipiga si la kitoto.Kuna uwezekano mechi yetu iliisha nje ya uwanja,ndani Uganda walikuwa wanaigiza.
 
Hata uwe mzuri vp kuna siku hutokea tu ukapotea ukajikuta unalambishwa mbili tatu na kibonde nakubali Uganda katuacha mbali sana kisoka ila suala la kutuachia hapana kila shetani na mbuyu wake mechi ya kwanza ilipigwa kwao wao wanahitaji point na sisi tunahitaji point mbona hawakutufunga? na kukosa uzembe wa akina samata Uganda alikuwa anakufa pleple kwao kwa ambae alitazama mpira atakuwa shahidi yng Uganda anajua sana ila stars huwa ana mbahatisha sana yule hasumbui!
 
Una makengeza nini!!!?...wao ndo walikua na presha,sisi tulikua tunapga kaunta
Mafundi wa ATCL walikuwa walianza kukagua injini za ndege yetu kabla ya mechi ya Taifa Stars vs Kenya,tayari kwa ajili ya
safari ya kurudi home, ilhali marubani wa ndege ya Uganda wao bado wana matumaini ya kuendelea kula bata mitaa ya Cairo na Alexandria.
 
Kwa hyo!!!?
 
Back
Top Bottom