Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Osie tate mkuu, shida ipo kwa aliyemuweka hapo had leo badala ya kumtimuaMimi bado mpaka leo sijapata majibu! Aliyemteua huyu jamaa aliwaza nini!!! Maana tangu siku ya kwanza tu, wadau tulisema wazi humu! Kwamba hili chaguo lina walakini!!
Na ukweli unajidhihirisha.
Mwigulu anaamini hii mitandao ndio tunaitumia kuingia jf kumpa za uso , kumbe watu wanasoma shule kupitia mitandao hii hii ! Mwigulu hakufaa kwa wizara yoyote ileMimi bado mpaka leo sijapata majibu! Aliyemteua huyu jamaa aliwaza nini!!! Maana tangu siku ya kwanza tu, wadau tulisema wazi humu! Kwamba hili chaguo lina walakini!!
Na ukweli unajidhihirisha.
Dhahiri !Osie tate mkuu, shida ipo kwa aliyemuweka hapo had leo badala ya kumtimua
Wako bize na tozo,hiyo akili ya kuwa,a Kama Tanzania unaweza kufutwa hawana,ndiyo maana hili lidubwasha linaitwa EWURA limepandisha Bei ya Petrol alafu likashusha gafula.Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake , hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije ?
View attachment 1920140
Kama wanataka kelele ziongezeke hadi ziwe music, wafanye tu hayo wanayotaka kufanya bila kuongea nao... ya Australia na Facebook ni mfano hai...Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?
View attachment 1920140
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake , hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije ?
View attachment 1920140
Hapo Tumepigwa Kwenye Huyo Waziri.Mimi bado mpaka leo sijapata majibu! Aliyemteua huyu jamaa aliwaza nini!!! Maana tangu siku ya kwanza tu, wadau tulisema wazi humu! Kwamba hili chaguo lina walakini!!
Na ukweli unajidhihirisha.
Watoto wake wanasoma Feza kwa tozo zetu.Mwingulu ni mzigo kwa Watanzania!
Yeye mwenyewe ataishije?Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake , hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije ?
View attachment 1920140
Wakudadavua...😅😅😅ulipotelew wapi Mwamba au umekuja na ID yako ya zamani.Tundu si yupo nao?awaambie waondoke
Itakuwa balaaa ,Mitano tena kwa social media.
Wakudadavua...[emoji28][emoji28][emoji28]ulipotelew wapi Mwamba au umekuja na ID yako ya zamani.
Pole kwa depression ndio maisha lakini.