Hivi hawa wakiamua kuondoka, mtatumia mtandao wa TBC?

Hivi hawa wakiamua kuondoka, mtatumia mtandao wa TBC?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?


Fikiria_Google,_Instagram,_Facebook,_Twitter,_Whatsapp,_Tiktok,_etc_waamue_kufunga_huduma_zao_...jpg
 
Mimi bado mpaka leo sijapata majibu! Aliyemteua huyu jamaa aliwaza nini!!! Maana tangu siku ya kwanza tu, wadau tulisema wazi humu! Kwamba hili chaguo lina walakini!!

Na ukweli unajidhihirisha.
Mwigulu anaamini hii mitandao ndio tunaitumia kuingia jf kumpa za uso , kumbe watu wanasoma shule kupitia mitandao hii hii ! Mwigulu hakufaa kwa wizara yoyote ile
 
Vijana wetu majaribu kuchanganuwa mambo kabla ya kufunguwa nyuzi. Tozo ya huduma inalipwa na nani, mtoa huduma au mtumiaji wa huduma? Bia ikiongezwa kodi anayelipa nyongeza ni nani?
 
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake , hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije ?

View attachment 1920140
Wako bize na tozo,hiyo akili ya kuwa,a Kama Tanzania unaweza kufutwa hawana,ndiyo maana hili lidubwasha linaitwa EWURA limepandisha Bei ya Petrol alafu likashusha gafula.
 
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa , hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?

View attachment 1920140
Kama wanataka kelele ziongezeke hadi ziwe music, wafanye tu hayo wanayotaka kufanya bila kuongea nao... ya Australia na Facebook ni mfano hai...
 
Mimi bado mpaka leo sijapata majibu! Aliyemteua huyu jamaa aliwaza nini!!! Maana tangu siku ya kwanza tu, wadau tulisema wazi humu! Kwamba hili chaguo lina walakini!!

Na ukweli unajidhihirisha.
Hapo Tumepigwa Kwenye Huyo Waziri.

Anachezea Mabeberu Hawajui
 
Mkuu taratibu utamua mwenzako[emoji16]
Wakudadavua...[emoji28][emoji28][emoji28]ulipotelew wapi Mwamba au umekuja na ID yako ya zamani.

Pole kwa depression ndio maisha lakini.
 
Back
Top Bottom