Mkanda wile . Mtaalamu wa Chemistry alikuwa anatufundisha chemistry Tuion Makongo ,jamaa alikuwa anatembea na picha wa Mke wake, jamaa alikuwa safi sana. namkumbuka sana huyu jamaa , vijana waliomaliza Kigonsera mwaka 2004 wlifauru vizuri chemistrty kupitia Notes za huyu jamaaa.
mwishoni alikopa pesa bank ya CRDB Shs. milion mia tano.
akaanzisha shule ya sendary Maeneo ya Pugu Shule yake ilikuwa inaitwa VICTORY HIGH SCHOOL , kadri siku zinakwenda alishindwa kuiendesha ile shule kiasi hata akashindwa kuwalipa mishahara walimu wake. Baadaye akakimbia sijui alikimbilia wapi Then benk ikaja kumpokonya ile shule. Mpaka hapo sijui kilichoendelea. Namkumbuka sana Jamaa. na lugha yake ya Kra,kra akitengeneza bond ya organic Compound.
S mwenye taarifa naye zaid atujuze.