Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Mkuu nahisi tumesoma pugu kipindi kimoja mana hayo matukio ya kwa MKANDA BOY unanigusa kabisa!!
"Hii kiboko"
Ebanaeeh alaf huyu Kamanda Moshi hukuishi Mapinduzi 2 na kina Mrisho, Mponda kwel?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nahisi tumesoma pugu kipindi kimoja mana hayo matukio ya kwa MKANDA BOY unanigusa kabisa!!
"Hii kiboko"
Alitupa pia historia yake siku moja tulikuwa home kwake anatupiga pindi,jamaa alikuwa na watoto hardly wamepishana labda miezi 9 tisa...sasa akawa anasema..unajua vijana,my classical (wife wake) tulikuwa tunamgombania na Busanji,nikapiga mimba ya kwanza,heee busanji boy bado akawa anafukuzia,nikapiga ya pili haraka haraka(klaaa shabash),jamaa bado hakukata tamaa,nikatandika ya tatu haraka haraka...busanji mikono juu..mkanda ni nini..mkanda boy...klaaa!
msaidieni basi kumbe kawatoa
Ebanaeeh alaf huyu Kamanda Moshi hukuishi Mapinduzi 2 na kina Mrisho, Mponda kwel?!!
Umemsahau "So much" alinifundisha chemistry tuisheni pale makongo na rafiki yake 'Makumaku'
yupo MWANZA kwa sasa mjomba,skul moja inaitwa Taqwa sec.Namsoma kinyama pande hizo huyo mzee wetuHuyu jamaa (Mkandawile) alikuwa jembe letu la ukweli sana pale Pugu.
Sijui yuko wapi sasa hivi?
"Jinalo we kote linatajikaa..hapa alisomeshwa Baba yetu wa Taifa,Tabora School kichwa cha Tanzaniaaa"...dah umenikumbusha mbali sana!!hapo napiga msuli wa Chemia chini ya mwembe,huku nawaza disko na Tabora Girls!au kwenda Tukutuku!
Ungwasu!, we c ulikua unachanaga kwel? Hujatoa trak bado?
mm nilisoma shuleni kwake mkandawile high school nilimaliza pale mwaka 2009 but aftr 2 yearz nackia alifilidika kutokana na sababu mbali mbali but now nackia yupo mwanza na mambo yake sio mazuri ndio amerudi kujipanga..nitajitahidi by 2mr niwadondoshee namba take ya cm..hata tukimkumbuka kwa cm 2 atafarijika coz anetusaidia wengi..
aliendekeza stare he zikamtia kidole,aliuza hadi nyumba aliyokuwa amepanga.A boy au Ambrose na yeye alifuata mtindo huohuo Wa maisha