- Thread starter
- #61
Kwa taarifa yako Natalia ni mmoja wa wanawake wachache wa kwanza ilivyoanzishwa Tambaza high school kwa wanawake.Hunijui huyo Mkandawile nimesoma tuition kwake na mama shija jangwani na primary Ndosi .pole sana kwa hasira ulizonazo .Sasa hilo ndiyo swali gani?
Wewe unajua watu kama hawa watakuwa wamezeeka na wameshastaafu long time.
Halafu usijifanye ulikuwa bundi fulani enzi za Form Four hadi ujue majina ya hawa Walimu na hata kutaja somo la Chemistry.
Kudaadeki!