Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Mkandawile alikula sana bata baada ya kuanzisha shule yake.akawa analala guest house na warembo wa kila aina anayotaka.

baada ya ku collapse akaenda mwanza kuna shule ya secondary ya seminary anafundisha.
 
Ha ha haa hapo anaongezea kijana utafanya nini?kijana utafail..mkanda boy..kla kla..

Hahahaaa... Akiwapa swali gumu mkiwa mnahangaika kulifanya utasikia akisema " Kwa mwalimu ambaye hana uzoefu atafikiri kijana ameelewa, Kuuuumbeee boy haoniiiiiii" Leo nimefurahi sana kumkumbuka huyu Mwl.
 
mkanda alikua amekariri material yake yan anatoa notice kutoka kichwani na haruki neno;nimekumbuka kala,kala shabaash!!!na jinsi alivokuwa anawapaka pugu boy!lol
 
Mkandawile alikula sana bata baada ya kuanzisha shule yake.akawa analala guest house na warembo wa kila aina anayotaka.

baada ya ku collapse akaenda mwanza kuna shule ya secondary ya seminary anafundisha.

Heeee... Kumbe baadae alianza starehe na totoz na kumsahau " Beautiful mama mtu" Hahahaaaa... Maisha bwana..!
 
mke wake hakuwa anaitwa beutiful kama unafuatilia lecture alikuwa anamwita Classical
 
mke wake hakuwa anaitwa beutiful kama unafuatilia lecture alikuwa anamwita Classical
Kabla ya kufundisha alituambiaga historia yake duh tulilia maana aliletwa na ndugu yake Tanzania basi uko Tanga Mkanda alikuwa house boy na alikuwa analazwa Kwenye zizi la Ng'ombe .akatoroka akaanza shule sasa hapa ninaposikia alikopa million 500 Mara wanawake.kweli maisha yanabadilika
 
Hahahaaa... Akiwapa swali gumu mkiwa mnahangaika kulifanya utasikia akisema " Kwa mwalimu ambaye hana uzoefu atafikiri kijana ameelewa, Kuuuumbeee boy haoniiiiiii" Leo nimefurahi sana kumkumbuka huyu Mwl.

Halafu anafundisha anafika katikati (hapo hana kitabu,wala daftar) eeh kwa wale wenye notes za mwaka jana,ongezeeni hii (when pairing begins,the direction of the electrons must be in opposite direction) n pairing is only possible when each orbital occupy at least 1 electron..sawa vijana..?halafu anakuambia,vijana hawajaeeleewa..klaaa!du mkanda alikuwa bonge ya ticha kwa kweli!mkuu wewe ulisoma wapi?
 
Alitupa pia historia yake siku moja tulikuwa home kwake anatupiga pindi,jamaa alikuwa na watoto hardly wamepishana labda miezi 9 tisa...sasa akawa anasema..unajua vijana,my classical (wife wake) tulikuwa tunamgombania na Busanji,nikapiga mimba ya kwanza,heee busanji boy bado akawa anafukuzia,nikapiga ya pili haraka haraka(klaaa shabash),jamaa bado hakukata tamaa,nikatandika ya tatu haraka haraka...busanji mikono juu..mkanda ni nini..mkanda boy...klaaa!
 
Hahahaaaaa.... Yaani umenikumbusha sana hiyo ya wenye notisi za mwaka jana waongeze hii, maana mie nilikuwa na daftari ya sister wangu, hivyo nilikuwa naongeza hizo nyongeza huku nikistaajabu mwalimu anavyokariri mambo.. Mie nilisoma St. Anthony.. Kipindi cha likizo ndio nilikuwa napiga Tuition hapo Mtendeni..
 
Alitupa pia historia yake siku moja tulikuwa home kwake anatupiga pindi,jamaa alikuwa na watoto hardly wamepishana labda miezi 9 tisa...sasa akawa anasema..unajua vijana,my classical (wife wake) tulikuwa tunamgombania na Busanji,nikapiga mimba ya kwanza,heee busanji boy bado akawa anafukuzia,nikapiga ya pili haraka haraka(klaaa shabash),jamaa bado hakukata tamaa,nikatandika ya tatu haraka haraka...busanji mikono juu..mkanda ni nini..mkanda boy...klaaa!

Hahahaaa... Hiyo historia yake mie sikuwahi kuisikia.. Kumbe alikuwa ana compete na mtaalamu Busanji..! Alikuwa anapenda kujifagilia.. Ila mwishoni suti zake zilikuwa zimepauka saana.. Tukawa tunamwambia Mwl hizo pesa zote unazokusanya kwenye hiyo briefcase ukanunue suti nyingine..! Akatuambia "Pumbaf hamjaja hapa kuangalia Mkanda boy anavaa nini"
 
Dah, kweli sie wengine Jioni imefika enzi zetu za Mwl Nyerere ( 1981-1987 Tabora boys hapakuwa na Tuition kwanza mzazi atapata wapi hiyo pesa!
 
Hivi Bado wanafundisha ?

Sasa hilo ndiyo swali gani?

Wewe unajua watu kama hawa watakuwa wamezeeka na wameshastaafu long time.

Halafu usijifanye ulikuwa bundi fulani enzi za Form Four hadi ujue majina ya hawa Walimu na hata kutaja somo la Chemistry.

Kudaadeki!
 
Ndosi wa muhimbili Nasikia yuko fit kabisa na bado anakaa upanga.Kuna mwanafunzi wake alimwona mwaka kama.Ndosi alikuwa kiboko.
 
Back
Top Bottom