donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Haha, wapi mbugi na ustadhi, wapi mussa biteba, wapi osamaAisee...Mkandawire alifanya tuione A-level Chemistry ni somo rahisi. Nakumbuka akishafundisha ki-topic fulani anakuja kutoa mfano wa swali la NECTA bila kusoma popote utamsikia 'Necta 1992 Question 4a...........'
Nakumbuka alikuwa anapenda kusema 'mtapata tabu kweli...'
Dah.. ni kweli huyu jamaa amefariki, ilikuwa mashine moja ya hatari sana kwenye fizikia..Kama sijakosea ni marehemu sasa huyo bwana...
Mkanda wile . Mtaalamu wa Chemistry alikuwa anatufundisha chemistry Tuion Makongo ,jamaa alikuwa anatembea na picha wa Mke wake, jamaa alikuwa safi sana. namkumbuka sana huyu jamaa , vijana waliomaliza Kigonsera mwaka 2004 wlifauru vizuri chemistrty kupitia Notes za huyu jamaaa.
mwishoni alikopa pesa bank ya CRDB Shs. milion mia tano.
akaanzisha shule ya sendary Maeneo ya Pugu Shule yake ilikuwa inaitwa VICTORY HIGH SCHOOL , kadri siku zinakwenda alishindwa kuiendesha ile shule kiasi hata akashindwa kuwalipa mishahara walimu wake. Baadaye akakimbia sijui alikimbilia wapi Then benk ikaja kumpokonya ile shule. Mpaka hapo sijui kilichoendelea. Namkumbuka sana Jamaa. na lugha yake ya Kra,kra akitengeneza bond ya organic Compound.
S mwenye taarifa naye zaid atujuze.
Alisha tutoka Busanji?!! Enzi hizo viwanja ni Mkwawa, Pugu na Mnazi mmoja.Mzee wa mbwembwe Mr. SOO MUCH alikua anakamua Chemistry na Mathematics, wazee wa biology kulikua na mkali anaitwa MAKUMAKU..Physics kuna Busanji(RIP) na Ustaadh alikua yuko vizuri sana kwenye Physics..notes za Physics toka kwa Wibonele (RIP)
Alikuwa Mwl mzuri sana wa Advanced Mathematics, alikujachukuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na kuwa Mkurugenzi msaidizi wa ukaguzi wa shule nchini. Inawezekana pengine ni wewe ulitofautiana naye kitu au jambo fulani, but was among the best teachers of mathematics in the country! Pole sana kama mlienda ndivyo sivyo ila alisifiwa mno kwa umahiri wake hadi wizara ikamchukua na kumpa ukurigenzi! Sasa hivi atakuwa ameshastaafu nadhani! Pole sana dada kama uliliwa kichwa na Mr Merchant!Hivi yule muchant or merchant wala hata jina lake tabu .hivi alikuwa ni mwalimu au ujinga ulimjaa
Akauza nyumba aliyopanga na kukimbila Lake Sekondary ,Mwanza.Lake hakukaa sana akaenda Geita,huko akisimamia kituo cha tuition.Shule yake iliitwa Mkandawile sec.school na ilipouzwa ikautwa Daora sekondari.Sasa hivi sijui ikoje.Mkandawile nilisikia alikopa bankwaa pesa akaanzisha shule huko huko maeneo ya pugu, kashindwa kulipa deni akanyang'anywa na bankwaa.
Duuuh Jamaa Mzushi anauza hadi nyumba ya watu aliyopanga? Hakukamatwa kweli kwa utapeli? Ukichukua Mkopo Bank inabidi ujipange vizuri ukiepeleka sehemu tofauti na ulipokusudia lazima ile kwako maana marejesho yatafeli.Akauza nyumba aliyopanga na kukimbila Lake Sekondary ,Mwanza.Lake hakukaa sana akaenda Geita,huko akisimamia kituo cha tuition.Shule yake iliitwa Mkandawile sec.school na ilipouzwa ikautwa Daora sekondari.Sasa hivi sijui ikoje.
Kujua chemistry na kujua namna ya kuendesha shule kuna uhusiano gani?Kufanya biashara ni kipaji kingine kinachojitegemea. Mkandawile na ujuzi wake wote wa Chemistry alishindwa kufanya biashara ya shule... too sad.
Huyu mwanamke Natalia ana mdomo kama wa kenge! Hana staha ya kuongea na watu!Umesema 2003
Tuzo ya nini, ya kujaza wanafunzi Mtendeni Primary school!mkanda boy,mzee wa suti,tulikuwa tunajazana pale mtendeni,sijui yupo wapi aisee huyu alistahili tuzo aisee
BalaaHuyu jamaa (Mkandawile) alikuwa jembe letu la ukweli sana pale Pugu.
Sijui yuko wapi sasa hivi?
Huna ulijuwalo.Tuzo ya nini, ya kujaza wanafunzi Mtendeni Primary school!