Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wakoje kwenye mahusiano?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number.

Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
 
Dada chukua namba yangu mi mlinzi wa Mzee Malecela sibadili namba 😎 kama upo Dodoma nicheki chap😇😇😇

Achana na huyo fala kwanza hayupi kwenye security detail alivaa tu miwani nyeusi na kaunda suti kuku-embrace. wewe 😎😎

Halafu sister kuwa serious yaani kupewa namba tu unaanza kuzengumzia MAHUSIANO 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number.

Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
Picha video kusindikizia uzi vipo wapi wewe?
✍️
 
Back
Top Bottom