Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wakoje kwenye mahusiano?

Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wakoje kwenye mahusiano?

Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number.

Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
We mfunulie aweke alama kuwa alishawahi kukupitia, na ndio meisho wa habari
 
Uongo matapeli

Walinzi huwa na namba official na private ambazo hazibadiliki hata siku moja

Hata raisi huwa na namba official na private hizo private huwasiliana na familia na marafiki na habadilishi hata siku moja

Wewe umekutana na matapeli
Uko timamu kweli,?unanijibu mimi ndiyo mleta mada?
 
Uko timamu kweli,?unanijibu mimi ndiyo mleta mada?
Nimemjibu on behalf kupitia wewe ulieungana nae kujibu uongo
.mfikishie majibu yangu chako ulichandika ulichoandika uongo

Waongo wawili wewe na mleta mada mfikishiane hayo majibu nimetoa kuwajibu uongo wenu kwenye vijiwe vyenu vya uongo

Wewe si umesema ni walinzi wa Mheshimiwa mwongo mkubwa wewe
 
Wewe ni ke au me? Kama ni ke basi umeliwa kimasikhara uzi wa rikiboy unakuhusu
Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number.

Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
 
Kama anavyobadili namba ndivyo atakua anakubadili na wewe so anakuandaa kisaikolojia
 
Back
Top Bottom