Hivi hawa waliokataa shule wanajisikiaje kwa sasa?

Hivi hawa waliokataa shule wanajisikiaje kwa sasa?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kama mliogopa kufeli

Hamwoni wenzenu wanapiga kazi na vyeti feki

Je ungejua na wewe ungepiga cheti feki ukooo boss mkubwa

Nawaasa mnaosoma endeleen kusoma msiache msikate tamaaa lipo tegemeo moja mungu alie hai ukishindiwa huku anakupa

Plan b
 
Back
Top Bottom