Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically
Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko .

Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka .

Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka niwaoe kila Mtu ananitaka na kimuonekano naonekana kawaida Sana .

Kiufupi ukisikia mtu mapenzi yanamtesa Fahamu huyo ni Mjinga Sana Tena wa mwisho. Awe Ke au Me.

Mwanamke akiwa na Maisha mazuri wanaume watajigonga Sana juzi ijumaa dada angu kaolewa na miaka 40+

Huu msemo wa tutafute hela unawahusu wanaume na wanawake

Nyie wanawake acheni kwenda kwa Manabii tafuteni hela mtaolewa tu .
The same wanaume.

Mungu + standard life ukiwa na hayo mambo mawili hukosi mke au mme. Mimi Dada yangu kaolewa na miaka 43 .

Ke tafuta hela
Me tafuta hela
 
C31C3805-B0B2-43CC-BB87-6B157B5C6BE8.jpeg
 
Hongera mkuu kwa kupata shemeji. Naona furaha ya dada yako kuolewa tena akiwa over 40 imekujaa mpaka umeamua kuandika uzi! Kila la kheri kwenye ndoa yake.
 
Pesa sawa ila kwenye mapenzi wakati mwingine huonekana makaratasi tu! Mf. Mtu anakumwagia mipesa tu bila Upendo masimango matusi utazitumia kwa furaha kweli?
 
Mapenzi ni nini?

je pesa yaweza kununua upendo?
Pesa inakufanya uwe na makazi Bora ya kuishi ,kuiendesha Gali nzuri ...

Pesa inakufanya kumnunulia mwanamke wako kipenzi nguo ,zawadi za hapa ma pale ,kumtoa out kurefresh mind na kutembelea sehemu mbali mbali kuenjoy life ....

Pesa inakufanya kuweza kunawili kimwili na kiakili ,...

Pesa inakufanya kuweza kumudu mahitaji yote ya mpenzi wako ,na familia kiujumla ...

Pesa inakufanya uweze kumnunulia mkeo kila anachopenda ,kuhakikisha anafurahia maisha ...

Hivyo vyote hapo juu vinanogesha penzi ....

Kama hutaweza kufanya hivyo hapo juu ,hakuna penzi ni kupigana mashine ,kuchokona ,kudharaulina ,mwisho kabisa kuachana ....

Kama huna pesa maana yake hutakiwa na uwezo wa kutimiza mahitaji Kwa mkeo na mpenzi wako ,hata mahitaji mhimu ya maisha , chakula,mavazi ma makazi ....

Nikiona mtu anasema sijui mapenzi bila hata pesa yapo ....Mimi binafsi nabaki namshangaaaaa na kumuona hamnazo ....

" Hakuna mwanamke aliyetayari kuishi na mwanaume masikin "

" Hakuna mwanamke anayependa shida "

Kama huna pesa wewe unanuka shida tu na hakuma mwanamke anayeweza kukupenda ,sio mwanamke tu hata watu wengine wa kawaida maana huna faida wala mchango wowote kwenye jamii...

Kama huna pesa tofauti yako na mbwa ni ndogo Sana .....

Tafuta pesa wewe ,hakuna mapenzi bila pesa ....
 
Nimeona vichwa panzi wengi wafata mikumbo na wameumia kweli kweli.
Kila mtu ifike wakati aamini na kuwa na definition yake kwa kila Jambo vinginevyo ..Mtaungua.
 
Namuhurumia huyo baharia atakuwa anadeki vyoo na kupika hapo demu katoa mikosi tu.
 
Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically
Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko .

Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka .

Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka niwaoe kila Mtu ananitaka na kimuonekano naonekana kawaida Sana .

Kiufupi ukisikia mtu mapenzi yanamtesa Fahamu huyo ni Mjinga Sana Tena wa mwisho. Awe Ke au Me.

Mwanamke akiwa na Maisha mazuri wanaume watajigonga Sana juzi ijumaa dada angu kaolewa na miaka 40+

Huu msemo wa tutafute hela unawahusu wanaume na wanawake

Nyie wanawake acheni kwenda kwa Manabii tafuteni hela mtaolewa tu .
The same wanaume.

Mungu + standard life ukiwa na hayo mambo mawili hukosi mke au mme. Mimi Dada yangu kaolewa na miaka 43 .

Ke tafuta hela
Me tafuta hela
Ni upumbavu tu na kujiendekeza, hakuna cha mno kwenye mahusiano hadi mtu achanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom