God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically
Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko .
Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka .
Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka niwaoe kila Mtu ananitaka na kimuonekano naonekana kawaida Sana .
Kiufupi ukisikia mtu mapenzi yanamtesa Fahamu huyo ni Mjinga Sana Tena wa mwisho. Awe Ke au Me.
Mwanamke akiwa na Maisha mazuri wanaume watajigonga Sana juzi ijumaa dada angu kaolewa na miaka 40+
Huu msemo wa tutafute hela unawahusu wanaume na wanawake
Nyie wanawake acheni kwenda kwa Manabii tafuteni hela mtaolewa tu .
The same wanaume.
Mungu + standard life ukiwa na hayo mambo mawili hukosi mke au mme. Mimi Dada yangu kaolewa na miaka 43 .
Ke tafuta hela
Me tafuta hela