Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

Hivi hawa wasanii wa bongo kwenye mkutano wa CCM kazi yao kubwa ni nini?

Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Kusikiliza sera za CCM na ripoti ya utendaji wa CCM kwenye ilani ya CCM ya kipindi kilichopita na kijacho vipengele vinavyowahusu wao kama wasanii kuwa serikali ya CCM imewafanyia nini na itawafanyia nini?

Mambo ambayo huko Chadema hayako hoja ni ohhh Mbowe must go wajinga nyie hamna sera ya mkutano mkuu wenu
 
Back
Top Bottom