Hivi hawa wasichana wa kazi wana nini?

hebu njoo utumie desk top yangu naona yenyewe inacho hicho kitufe!!

Hahahha, asnate Mkuu!..Lakini nashangaa kitufe cha like kinakosekana kwa Mamdenyi tu, kwa wengine kiko poa!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ndio Back3 tena kapata na simu ni lazima akukumbuke kwani kakua huyo na anategemea kuishi maisha kivyake.
Mwache awe huru, ila hela tena usimtumie kwani atakuzoea na kukuongezea matatizo uje ushtuke kakuomba na vingine
 
Tatizo mnawaona wasichana wa kazi kama watu wa dhiki sana
kwani wana tofauti gani na hao watoto wenu?

Kama una mapenzi mema mpe,
kama hauna mwambie hautaki tena communication.

Hata kama ukiwafanya zaidi ya wanao bado hawabadiliki kuwa HG/HB yaani tena ukiwadhamini sana wanaona una shida na huwezi kuwaacha wanaanza mashida.
 
utafanyaje na wewe ni muhitaji
nasikia wa siku hizi wengi ni wale wanaoruka usiku
kuna wakati utafika kila mtu anakomaa na familia yake kama
wenzetu wa huko majuu wanavyofanya. kulea mtoto baba na mama
mnabadilishana kuchukua tu likizo ili muwalee watoto.

Hata kama ukiwafanya zaidi ya wanao bado hawabadiliki kuwa HG/HB yaani tena ukiwadhamini sana wanaona una shida na huwezi kuwaacha wanaanza mashida.
 
suti inaweza kuleta utata kumbe,
mbona hata mitumbani zipo.
weee achana na suti kabisa mimi kijijini kwetu anayo headmistress tu!!na nikukutana naye lazima nimwamkie japo namzidi umri!!we mwenyewe hapo nikikuonaga humu huwa nababaika!!
 
some times unaweza ukampa uhuru na kila kitu anataka bt anakutana na wamama wengine wanamrubuni aache kaz apate kaz mingine mwisho wa cku anajuta na kukuongelea vitu vya ajabu. kiufupi tuachane na hao mabint wa kazi
 
walimuahidi maisha bora huko kakuta hali ya huko ni tete..mpe tu kama unayo na kama huna basi mwambie tu.
 
cha msingi na cha secondary
kwa kuwa mmeishi nae kwa wema na ameondoka kwa wema kuombana msaada ni kitu cha kawaida sana hata wewe ukihitaji msaada wake atakusaidia kama anaouwezo.hata kama unahitaji dada mwingine kwa kupitia yeye unaweza pata kwa urahisi.

kama ulikuwa unamlipa kidogo amepata kwa wanaomlipa vizuri na wewe huna uwezo wa kumlipa hiyo pesa unataka aendelee kukaa hapo kwako bila malengo?

hata wanaofanya maofisini wanatafuta sehemu zinazolipa vizuri............lakini pia tunaombana balaaa,tunakopeshana na tunamadeni!
kwa post hii sioni tatizo la huyo dada labda kama kuna mengine ambayo hujaandika
 
ha ha haaaa
......jf never boring ..... maneno ya mkuu mmoja wa humu humu jamvini.

weee achana na suti kabisa mimi kijijini kwetu anayo headmistress tu!!na nikukutana naye lazima nimwamkie japo namzidi umri!!we mwenyewe hapo nikikuonaga humu huwa nababaika!!
 

hapana usiseme ivyo, km wewe ni mpiganaji lazima utaelewa fika kuwa kakwama kule alikoenda!!!! na ndivyo maisha yalivyo siku zote ni risk by nature!!!! cha muhimu mfikirie tena mrudishe kazini as along as umesema she is real able to deliver!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…