Yaani sometimes inabidi tu tuwahurumie nahisi uelewa wao hauko sawa..kuna msichana nilimpeleka kwa mama yangu..akakaa nao karibu miaka 3 akiwa huru(jumapili the entire day anaruhusiwa kwenda kushinda kanisani-as according to yeye aliokoka) sasa nadhani sometimea uhuru unapowazia kuna tatizo..akaanza mara kununa ohvyo wakati mwingine bila sababu,tho ni mchapa kazi kwakweli..au akienda churc anazidi kuchelewa mmh...ghafla siku hiyo kaamka akamwambia mama ..kesho naomba niende..mama akamwambia ok but anipigie mimi kwanza..nikamuuliza vipi kuna tatizo akasema hapana bali tu amepata kazi kwengine-Buguruni(hope wanamlipa juu zaidi) nikamwambia fine..u may go hata leo,nikatoa baraka zote.sasa cha ajabu tangu aondoke huu ni mwezi wa pili...simu,msg kila mara..za ooh nimewamiss..sometimes najibu,zikinichosha nazichunia..jana ndo kaanza anaomba hata elfu 5..amechacha mno,maisha ni magumu..jamani sasa nimweleweje huyu?kwanini aliondoka kama hakuwa na uhakika na anakoenda?huwa kinawapata nini hawa wasichana?
cha msingi na cha secondary
kwa kuwa mmeishi nae kwa wema na ameondoka kwa wema kuombana msaada ni kitu cha kawaida sana hata wewe ukihitaji msaada wake atakusaidia kama anaouwezo.hata kama unahitaji dada mwingine kwa kupitia yeye unaweza pata kwa urahisi.
kama ulikuwa unamlipa kidogo amepata kwa wanaomlipa vizuri na wewe huna uwezo wa kumlipa hiyo pesa unataka aendelee kukaa hapo kwako bila malengo?
hata wanaofanya maofisini wanatafuta sehemu zinazolipa vizuri............lakini pia tunaombana balaaa,tunakopeshana na tunamadeni!
kwa post hii sioni tatizo la huyo dada labda kama kuna mengine ambayo hujaandika
Asante baba maana mi nilianza kuwanza mbona watu uelewa wao ni finyu?nikakosa cha kuwajibu..thanks alot...Sijaona popote alipodharauliwa huyo yaya, swali alilouliza ni kwa nini aliacha kazi na kusema analipwa vizuri alafu leo anaomba hela na kusema amechacha?? Angetuliua kazini angechacha???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Si alisema ye mlokole basi ndo uone unafki wao[/QU
Nilishawahi kumuambia dada angalia kama ni chuch iwe kweli unless ni bora useme ukweli maana usije kujificha kwenye kivuli cha ulokole cha kwenda kanisani kumbe kwa shemeji anacheka tunacheka wote yanaisha
Kuna genge la watu, niwe mwazi KINAMAMA ambao huwahadaa wasichana Wa Kazi eti watawatafutia pasi iko Na Pesa mingi zaidi. Mambumbumbu hawa hukubali faster Na kupewa somo.. ' ukifika huko sema umetokea IRINGA sawa..?' Na huko kinamama hao madalali hupokea Cha juu aka NAULI ya Kuwaleta from mikoani sana sana 50,000/= wasichana hawa maskini hutoswa pahala nguli, pagumu Na hujutia sana, wakiwalalamikia madalali wao Basi hupangwa zengwe jingine, huaga eti anaacha Kazi kaitwa nyumbani kumbe dalali anampeleka pengine na kuvuta 50,000. Basi jiji FUJO mojakwamoja watu wanatafuta kula Kwa kuharibu ustaarabu wa Wengine..Yaani sometimes inabidi tu tuwahurumie nahisi uelewa wao hauko sawa..kuna msichana nilimpeleka kwa mama yangu..akakaa nao karibu miaka 3 akiwa huru(jumapili the entire day anaruhusiwa kwenda kushinda kanisani-as according to yeye aliokoka) sasa nadhani sometimea uhuru unapowazia kuna tatizo..akaanza mara kununa ohvyo wakati mwingine bila sababu,tho ni mchapa kazi kwakweli..au akienda churc anazidi kuchelewa mmh...ghafla siku hiyo kaamka akamwambia mama ..kesho naomba niende..mama akamwambia ok but anipigie mimi kwanza..nikamuuliza vipi kuna tatizo akasema hapana bali tu amepata kazi kwengine-Buguruni(hope wanamlipa juu zaidi) nikamwambia fine..u may go hata leo,nikatoa baraka zote.sasa cha ajabu tangu aondoke huu ni mwezi wa pili...simu,msg kila mara..za ooh nimewamiss..sometimes najibu,zikinichosha nazichunia..jana ndo kaanza anaomba hata elfu 5..amechacha mno,maisha ni magumu..jamani sasa nimweleweje huyu?kwanini aliondoka kama hakuwa na uhakika na anakoenda?huwa kinawapata nini hawa wasichana?
utafanyaje na wewe ni muhitaji
nasikia wa siku hizi wengi ni wale wanaoruka usiku
kuna wakati utafika kila mtu anakomaa na familia yake kama
wenzetu wa huko majuu wanavyofanya. kulea mtoto baba na mama
mnabadilishana kuchukua tu likizo ili muwalee watoto.
usiseme hivyo ndg yangu, kuwa na hg sio tunapenda, ila mazingira! unafanya kazi na una mtoto mdogo utafanyaje, utamuacha mtoto kwa jirani? la hasha, hg ni muhimu kwetu
yaani umefunuliwa nikawe beki tatu wako au???
i hate them ni wasumbufu sana
Asante saaaana mshiki akwa. hapo umenena kama watu elfu.Tatizo mnawaona wasichana wa kazi kama watu wa dhiki sana
kwani wana tofauti gani na hao watoto wenu?
Kama una mapenzi mema mpe,
kama hauna mwambie hautaki tena communication.
Nimekosa kitufe cha "like" Mama, maneno yako ni ya kweli! Kama mtu kakuomba elfu tano ni chaguo lako kumpa au kumnyima! Na kama kuondoka kwake kumekujengea chuki ni heri umwambie kuwa hautaki mawasiliano naye. mtu yeyote huombewa heri aendako, mengine ni matokeo tu! Yeye alikuwa na imani kabisa kuwa huko aendako kutakuwa bora kuliko hapo!
Tena kama alikaa miaka 3 mshukuru MUNGu, wengine kwa kipindi cha miaka 3 wankuwa wamebadilisha kama 7-10
hayajakukuta mpendwa
Nenda haraka iwezekanavyo