nakugongea "like" mara tano,
moja ingekuwa ni demu au mshikaji kamwomba hiyo buku 5 asingekuja kuripot hapa
mbili inaelekea hakufurahishwa na kuondoka kwa huyo bint hata kama alimruhusu alimruhusu kwa shingo upande hivyo anavyoona huko alikoenda binti anapata shida jamaa ni kama anafurahia moyoni kuwa kapatikana
ushauri wangu kwako
kuwa na ubinadamu,kama mliishi vizuri na unahisi anapata shida msaidie na hata kama unaweza kumrudisha,mrudishe maadamu alikuwa mchapa kazi pia atakuwa amejifunza kitu .
jione kama mzaz, hakuna anayependa kuwa hg,hata mwanao hutapenda awe hg,but yote ni maisha,na ubinadamu ni kusaidiana na kuchukuliana. mtoa uzi utakuwa umenielewa,ndio maana wengine tunawaendeleza ili siku moja nao wawe na maisha yao.
kwimukaga che mwali?Yaani sometimes inabidi tu tuwahurumie nahisi uelewa wao hauko sawa..kuna msichana nilimpeleka kwa mama yangu..akakaa nao karibu miaka 3 akiwa huru(jumapili the entire day anaruhusiwa kwenda kushinda kanisani-as according to yeye aliokoka) sasa nadhani sometimea uhuru unapowazia kuna tatizo..akaanza mara kununa ohvyo wakati mwingine bila sababu,tho ni mchapa kazi kwakweli..au akienda churc anazidi kuchelewa mmh...ghafla siku hiyo kaamka akamwambia mama ..kesho naomba niende..mama akamwambia ok but anipigie mimi kwanza..nikamuuliza vipi kuna tatizo akasema hapana bali tu amepata kazi kwengine-Buguruni(hope wanamlipa juu zaidi) nikamwambia fine..u may go hata leo,nikatoa baraka zote.sasa cha ajabu tangu aondoke huu ni mwezi wa pili...simu,msg kila mara..za ooh nimewamiss..sometimes najibu,zikinichosha nazichunia..jana ndo kaanza anaomba hata elfu 5..amechacha mno,maisha ni magumu..jamani sasa nimweleweje huyu?kwanini aliondoka kama hakuwa na uhakika na anakoenda?huwa kinawapata nini hawa wasichana?
Hata kama ukiwafanya zaidi ya wanao bado hawabadiliki kuwa HG/HB yaani tena ukiwadhamini sana wanaona una shida na huwezi kuwaacha wanaanza mashida.
nakugongea "like" mara tano,
moja ingekuwa ni demu au mshikaji kamwomba hiyo buku 5 asingekuja kuripot hapa
mbili inaelekea hakufurahishwa na kuondoka kwa huyo bint hata kama alimruhusu alimruhusu kwa shingo upande hivyo anavyoona huko alikoenda binti anapata shida jamaa ni kama anafurahia moyoni kuwa kapatikana
ushauri wangu kwako
kuwa na ubinadamu,kama mliishi vizuri na unahisi anapata shida msaidie na hata kama unaweza kumrudisha,mrudishe maadamu alikuwa mchapa kazi pia atakuwa amejifunza kitu .
jione kama mzaz, hakuna anayependa kuwa hg,hata mwanao hutapenda awe hg,but yote ni maisha,na ubinadamu ni kusaidiana na kuchukuliana. mtoa uzi utakuwa umenielewa,ndio maana wengine tunawaendeleza ili siku moja nao wawe na maisha yao.
haujambo shangazi yangu
habari za huko kwetu?
kwa kweli umepotea sana
unaona watu wanavyo wasimanga hawa madogo
wakati watoto wao wako mashule ya kimataifa
eti kwa nini walizaliwa kwenye familia masikini na kwenda kuomba kazi za ndani?????
kwimukaga che mwali?
kweli kabisa, me walivyo mfanyiaga mama angu sina hamunao kabisa
alikuwa na hg alimthamini kama mtoto wake japokuwa alikuwa ana mlipa mshahara wake kawaida ila bado alikuwa anamtimizia wajibu wake kama mzazi wa kumnunulia vitu kama nguo, viatu nk, hakuna mtu aliyekuwa anajua kama yeye ni hg, siku moja wazazi walisafiri kwenda mkoa mwingine akabaki hg na mdogo wangu ambaye yupo form4, wakati dogo yupo shule, sijui yule dada baadae aliingiwa na pepo gani, alikusanya baadhi ya nguo za dogo na pesa akasepa zake kwenda Dar kufika huko yule aliyempeleka huko akamtelekeza akawa hana mahali pa kukaa mwishoe akakamatwa na polisi usiku akiwa anazurula.
Katika kuhojiwa akasema kuwa nyumbani wamemfukuza then alikuwa apewi chakula na mateso kadha wa kadha.
Ndipo hapo Polisi wakamuomba na za mother nakuanza kupewa hizo tuhuma.
Kwakweli me sijui hawa watu wanataka waleleweje wakiwa kwenye kazi zao.... Kama mtu alikuwa anathaminiwa kiasi hicho lakini unaambulia kupakazwa ubaya usiokuwa na sababu ya msingi
Sometime huwa nawafananisha na moto ukicheza nao vibaya wanakuunguza hao, so kamwe usijaribu kumuamini hg 4 100%.
ahsante sana, nne kumangwetu kuchivata karibu ni sekondari ja kuchidya, ajetu kumangwao kwapi?syamboneeeeeeeeeee
Je umefikiria itabidi uwalipe sh ngapi hao watakao kuwa wametoka chuo????ndugu hao watu ni wasumbufu kweli, nadhani ni upeo unachangia, ingekua vema kama kungekua na college ya wafanyakazi wa majumbani ili wajue majukumu yao na haki zao pia
Nitumie namba yake.
ahsante sana, nne kumangwetu kuchivata karibu ni sekondari ja kuchidya, ajetu kumangwao kwapi?