kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Watu sisi tuna angalau kidogo sio kwamba sisi ni matajiri lakini vidogo vidogo vya kusukuma maisha mbele na kusaidia wapendwa na watoto wazuri hatuwezi kosa.
Lakini mapenzi yanatusumbuwa kinoma yaani.
Mpaka kuna mda nafikiria labda Haji anatumia kizizi yule sio bure maana namuona anakaa saana kiuganga
Kweli mimi wakuzungushwa na watoto wa Tandale kwa tumbo