Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Wale mamonitor na viranja vipi mambo huko wizara ya mambo ya ndani?

Wale wapiga ngoma za wimbo wa Taifa/usafi/mchakamchaka na kuingia darasani,vipi mnatoa album ya ngapi kwenye band zenu?
Nalog off
Nadhan ndo wale waliorithi mikoba ya Komba[emoji38]
 
Wale waliokuwa viongozi wa chakula na kupiga watu mchinjo wakati wa kula mnaendeleaje hapo wizara ya kilimo
 
Wale mliokuwa mnabrush viatu kila siku na kuvifuta na kitambaa kila vikipata vumbi kidogo, vipi biashara ya shoeshine inaendaje huko mlipo..?
Wakifika watatujibu mkuu.

kwa sababu ndo walikuwa wanaongoza kwa usafi mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…