Ndo kwa sasa wana mazoea ya karibu na watu wa jamaikaWale mliokuwa mnatoroka vipindi mnaenda kuvuta bangi maporini, vipi maisha yenu huko jamaika yanaendaje? Watoto wa bob marley hawajambo?
HahhahahhahahaWale walokuwa wana ongoza mto wa shule hapo jeshin vp
Anawabana vijana vbaya mno.nadhan walipo wanapumulia mashineViongozi wa skauti Lugola anasemaje
😂😂😂..Duh umenikumbusha kiranja flani hivi alikua mkuda wa kugawa maeneo ya kufaigia balaa
huku kuna hali ya unyevunyevu tu mkuu kwa upande wa hali ya hewa[emoji28][emoji28]hahah saiv vipi huko Paris mambo yanaendaje kwa ufupi mkuu.
Akili zako fupi sana mkuu😀😀😀😀😀😀huku kuna hali ya unyevunyevu tu mkuu kwa upande wa hali ya hewa[emoji28][emoji28]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]..Duh umenikumbusha kiranja flani hivi alikua mkuda wa kugawa maeneo ya kufaigia balaa
[emoji1]mkuu niruhusu nikupm nije na vpimo nijye ni kwel au hapana[emoji2]huku kuna hali ya unyevunyevu tu mkuu kwa upande wa hali ya hewa[emoji28][emoji28]
Hahahaha hii nimeipendaWale mliokuwa mnàanzisha migomo na harakati za kumwondoa headboy maisha yanaendeleaje hapo uK.aW.a
Advance imedhalilisha wengi sana waliochomoa vizuri OlevelWakuu
Baada ya kutuma salamu zangu.sasa nawaletea ushuhuda
Wakati nasoma o level kuna boya alijidai sana shule kunoga .meza amejaza vitabu na daftari anatumia meza mbili peke yake
Na ma sifa mengi.unakuta muda wa break umefika ila yeye anaendelea tu kuuliza maswali
Basi bwana tukamaliza akatoka na div 1 mimi na jamaa zangu div 2
Kufika advance yule mjinga alipata division 0[emoji23]
hahahhahahah.pole mkuuUzi umekaa kimajungu huu
[emoji23]Advance imedhalilisha wengi sana waliochomoa vizuri Olevel
hahahaa naamin watatupa mrejesho huyo Elon musk ana yapi mapyaWale mliosoma feza boys mliokua naongoza 'Pure mathematics na kupata 'A' za Physics maisha yanaendeleaje hapo SpaceX anaendeleaje Elon musk hajambo???, tuliosoma marian boy's tupo hapa Intel tuna develop processor core i11.
Na wale mabigwa wa wakufufuka (kusoma usiku mpaka kesho asubuhi) mnaendeleaje hapo mbinguni??, malaika gabriel anaendeleaje??