Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

wale vijana wa torabora maisha yao yapo vizuri...
 
GBWA-20181006055238.jpeg
 
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?


Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo inaendaje???

Hivi wale mliokuwa mnakomaa kwenye debate mpaka macho yanakuwa mekundu kwamba Education is better than money bado mna huo msimamo au,,!


Hivi wale mliokuwa viongozi wa ulinzi vipi hapo Usalama wa Taifa mambo yanaendaje.


Ongezea uwezavyo mpaka hawa watu tuwapate
Hahahahah,duh wabongo bhn
 
Mimi nilikuwa simple tu na sasa ivi napiga kazi zangu simple nimeajiriwa taasisi ya kifedha simple nina maendeleo simple kila kitu simple.
Au sio na mambo yamekaa simple tuu
 
Back
Top Bottom