Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Hivi hawa watu wako wapi?Njoo tujuzane wako wapi

Tulio kua tunakaa chooni mda wa vipindi saiv ni maafisa wa usafirishaji wa umma au kwa majina mengine boda boda
 
Wale waliokuwa mahodari wa kusindikiza wenzao wakiumwa vipi maisha yanakwendaje hapo ustawi wa jamii..[emoji1]
 
Hivi wale viranja wa shuleni ndio wamekuwa nyapara magerezani au?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂uzi mtam sana
 
Back
Top Bottom