Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Wote wapo hai, kwanin usiwaulize..Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Siasa! Kati ya hao wewe unawapimaje kwa mfano?Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Kuna yule mwambe na Sumaye umewasaha kwenye list!Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Wote hao hawakuipenda CHADEMANimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Una uhakika wote wako hai ?Wote wapo hai, kwanin usiwaulize..
Siasa sio closed room, mlango upo wazi, kwa yeyote kuingia na kutoka..
Wengine ni wabunge, Mabalozi na mawaziri na waenezi wa CCM kitaifa... Na wao unajiuliza kama walikuwa namna vip?
Hamjui siasa mnashadadia ...
AiseeWote hao hawakuipenda CHADEMA
Walifika bei wakanunulika!Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?
1.Dr slaa
2.Zitto kabwe
3.Amani kabourou
4.Prof Safari
5.Mchungaji Peter Msigwa
6.Prof kitila
Hao waliomba hifadhi ya kisiasa na mambo yalipokuwa si mambo wakajisalimisha CCM ili wasifilisike mazima!Kuna yule mwambe na Sumaye umewasaha kwenye list!
Haswaa!! arudishe hela za mama Abdul vinginevyo hakuna rangi hataacha kuonaWatanzania tumechelewa sana kumstukia mjsiriasiasa huyu aitwaye DJ. Sasa mwaka huu kakwaa kisiki, ni ama aondoke au ashupaze shingo halafu chama life.