Hivi hawa wote walikuwa wabaya au wasaliti pale CHADEMA ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​
 
Walijaribu kutaka mabadiliko kama haya, lakini wakati ulikuwa bado haujaamua.
 
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​
Wote wapo hai, kwanin usiwaulize..

Siasa sio closed room, mlango upo wazi, kwa yeyote kuingia na kutoka..

Wengine ni wabunge, Mabalozi na mawaziri na waenezi wa CCM kitaifa... Na wao unajiuliza kama walikuwa namna vip?

Hamjui siasa mnashadadia ...
 
Siasa! Kati ya hao wewe unawapimaje kwa mfano?
 
Watanzania tumechelewa sana kumstukia mjsiriasiasa huyu aitwaye DJ. Sasa mwaka huu kakwaa kisiki, ni ama aondoke au ashupaze shingo halafu chama life.
 
Mkiambiwa ile ni saccos ya familia hamuelewi mnabaki kushangilia ujinga tu kama mazuzu.Ukiwa na ushawishi ukautaka uenyekiti na mbaya zaidi usiwe mchaga ni kosa kubwa sana utatengenezewa kila aina ya zengwe uonekane hufai.Fredrick Sumaye aliambiwa sumu haionjwi baba wa watu hakutaka ligi akakimbia
 
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​

2. Alikuwa na haraka
5. Anapenda madaraka binafsi kuliko demokrasia . Haingelei mauaji sasa huyo hakuwa mtu wa mageuzi!
6. Huyu ni kama namba 5 tu
 
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​
Kuna yule mwambe na Sumaye umewasaha kwenye list!
 
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​
Wote hao hawakuipenda CHADEMA
 
Wote wapo hai, kwanin usiwaulize..

Siasa sio closed room, mlango upo wazi, kwa yeyote kuingia na kutoka..

Wengine ni wabunge, Mabalozi na mawaziri na waenezi wa CCM kitaifa... Na wao unajiuliza kama walikuwa namna vip?

Hamjui siasa mnashadadia ...
Una uhakika wote wako hai ?
 
Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ?

1.Dr slaa

2.Zitto kabwe

3.Amani kabourou

4.Prof Safari

5.Mchungaji Peter Msigwa

6.Prof kitila​
Walifika bei wakanunulika!
 
Watanzania tumechelewa sana kumstukia mjsiriasiasa huyu aitwaye DJ. Sasa mwaka huu kakwaa kisiki, ni ama aondoke au ashupaze shingo halafu chama life.
Haswaa!! arudishe hela za mama Abdul vinginevyo hakuna rangi hataacha kuona
 
Back
Top Bottom