Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
licha ya wa ccm sisi ambao hatuna vyama wanatufanya turudi nyuma maana lisu amekua ajenda Kila sehemu mpaka huyo mange kimambi anaehamasisha Kila mda kutaja lissu kama vile watanzania wote tunamkubali lissuSema kwenye hili wanafeli sana, wangetakiwa kutokuhusisha haya maandamano na Chama chochote ili Mtanzania aliye hata CCM aweze kuunga juhudi, siunasikia hata CCM huko nako nao wanataka reforms lakini sasa hapa wakija na sijui Chadema mara sijui nini kuna baadhi ya wananchi wataona miyeyusho
Lazima uhoji sio unaingia barabarani bila kujua vitu unavyopigania maana ni kuchezea uhai je kitendo Cha lissu na chadema kuwekwa kwenye ajenda ni tunaenda kufa Kwa ajili ya chadema au nchiIngia tu barabarani kiongozi ajenda zitapatikana mbele ya safari.Uongozi mbaya,rushwa kuonekana jambo la kawaida,utekaji wa raia,matumizi mabaya ya madaraka,katiba isiyoendana na wakati tuliopo sasa.Ajenda nyingine tutaongeza tukiwa barabarani.Mungu akubariki ukifanya hivyo hiyo tarehe
Sahihilicha ya wa ccm sisi ambao hatuna vyama wanatufanya turudi nyuma maana lisu amekua ajenda Kila sehemu mpaka huyo mange kimambi anaehamasisha Kila mda kutaja lissu kama vile watanzania wote tunamkubali lissu
Wakiendelea hivi Watajikuta wapo wao peke yao barabaraniSahihi
Ajenda ya Lissu nimetaja kwenye matumizi mabaya ya madaraka.Leo Lissu kesho mwanafamilia wako(utajisikia vipi watu wanaingia barabarani kutetea mwanafamilia wako anayefanyiwa ukatili na wenye mamlaka.Ingia tu barabarani kiongozi tunakufa mara moja tu na hatutaishi milele.Ubarikiwe ukifanya hivyo)Lazima uhoji sio unaingia barabarani bila kujua vitu unavyopigania maana ni kuchezea uhai je kitendo Cha lissu kuwekwa kwenye ajenda ni tunaenda kufa Kwa ajili ya chadema au nchi
Jibu swali kwanini anatajwa lissu na chadema kwenye ajenda za maandamano kwanini zisitaje shida zinazotuhusu watanzania tuKama mpaka sasa haujui lengo la maandamano ni nini na yanakuhusu vipi, kaa nyumbani.
Lissu alishasema hataki huruma ya mtu. Wanaomtetea labda hawakumsikia vizuri.
Wananchi wanadai ushirikishwaji katika maamuzi pamoja na uduma bora..
Bila shaka wewe ni miongoni mwa Wapinga maandamano.Husitahili kujibiwa chochoteUnajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya chadema au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa chadema lissu inamaana tunaenda kufa Kwa ajili ya lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo
msitufanye hatuna akili Kuna vipeperushi vimeandikwa lissu aachiwe wakati huyo ni mwenyekiti wa chadema Sasa hiyo ya lisu inahusiana vipi na sisi wananchiAjenda ya Lissu nimetaja kwenye matumizi mabaya ya madaraka.Leo Lissu kesho mwanafamilia wako(utajisikia vipi watu wanaingia barabarani kutetea mwanafamilia wako anayefanyiwa ukatili na wenye mamlaka.Ingia tu barabarani kiongozi tunakufa mara moja tu na hatutaishi milele.Ubarikiwe ukifanya hivyo)
uko sahihi,kama hajui nini kinaendelea alale tu atasimuliwa matokeoKama mpaka sasa haujui lengo la maandamano ni nini na yanakuhusu vipi, kaa nyumbani.
Lissu alishasema hataki huruma ya mtu. Wanaomtetea labda hawakumsikia vizuri.
Wananchi wanadai ushirikishwaji katika maamuzi pamoja na uduma bora..
Sisi sio manyumbu lazima tuhoji kama vipi muingie wenyewe chadema tuone kama mtaweza kuandamana hata lisaa limoja tu bila kusambaratishwauko sahihi,kama hajui nini kinaendelea alale tu atasimuliwa matokeo
Hiyo tarehe unaweza kwenda kituoni ulipojiandikisha ukapige kura au kama hujatimiza vigezo vya kupiga kura unaweza kuendelea na majukumu yako ya kila siku.Wanahitajika watu mia tu kuleta ukombozi na idadi hiyo tayari imetimia kuwa na amani kiongoziM
msitufanye hatuna akili Kuna vipeperushi vimeandikwa lissu aachiwe Sasa hiyo ya lisu inahusiana vipi na sisi wananchi
Ukombozi wa chadema huo sio wa tanzania full stop yaani ajenda lissu aachiwe halafu Mimi nikafe kisa mjinga mmoja sifanyi kazi hiyoHiyo tarehe unaweza kwenda kituoni ulipojiandikisha ukapige kura au kama hujatimiza vigezo vya kupiga kura unaweza kuendelea na majukumu yako ya kila siku.Wanahitajika watu mia tu kuleta ukombozi na idadi hiyo tayari imetimia kuwa na amani kiongozi
Haya tufanye niya CHADEMA fanya unachotaka kufanya.Sisi sio manyumbu lazima tuhoji kama vipi muingie wenyewe chadema tuone kama mtaweza kuandamana hata lisaa limoja tu bila kusambaratishwa