GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aya maandamano yangekua na maana kama. AGENDA ni wale wote waliouawa Kibao na wengine maandamano ya kulaani mauaji na Utekaji yangepata sapoti kubwa
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Kwa hi yo wakimtaja Lissu wewe matatizo yako yanakuwa yameisha, na sababu za kuandamana zinaishia hapo?
😂😂😂😂😂
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.

Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Maswali yako yamekaa kinafiki sana. Unajua kabisa watu wanaandamania nini ila unaleta unafiki tu.
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Upo sawa kabisa na wasiwasi ndio akili tusije tukafa kwenye maandamo kumbe tunamfia lisu na chadema yake, bora tuwekwe bayana hiyo siku tunaenda kupambania nchi yetu au kumpambania Lisu na chadema.
 
Hivyo ujionao Tanzania yenu,mmeamua kuwa bagua mnaowatambua chadema sio.Sasa naelewa kwanini kila chombo kilichopewa mamlaka iwe maamuzi,haki,kisiasa ama kiuchumi jukumu ni kuwaumiza mlioamua kuwabagua sio?
Nyie wajinga wa CCM na chadema mtajijua wenyewe mnagombania madaraka Ili mtufanye mang'ombe yenu milele kulipa Kodi Bora muuane muishe shenzi kabisa wananchi tutaanzisha chama chetu sio huo ujinga wenu yaani maandamano ya chama chenu Cha chadema mnataka sisi wananchi tufe hiyo haipo siku ikifika sisi wananchi tutaifia nchi yetu ila sio kumfia lisu na chadema
 
Aya maandamano yangekua na maana kama. AGENDA ni wale wote waliouawa Kibao na wengine maandamano ya kulaani mauaji na Utekaji yangepata sapoti kubwa
Kabisa aiwezekani atajwe mtu mmoja tena yupo hai waliokufa hawana thamani je yeye anathamani sana octoba nalala nimeshawastukia chadema wamewashindwa ccm kutoka a na uoga wao Sasa wanataka wananichi tupambanie chama chap hiyo haipo milele sifanyi huo ujinga
 
Nyie wajinga wa CCM na chadema mtajijua wenyewe mnagombania madaraka Ili mtufanye mang'ombe yenu milele kulipa Kodi Bora muuane muishe shenzi kabisa wananchi tutaanzisha chama chetu sio huo ujinga wenu yaani maandamano ya chama chenu Cha chadema mnataka sisi wananchi tufe hiyo haipo siku ikifika sisi wananchi tutaifia nchi yetu ila sio kumfia lisu na chadema
Haya maandamano yangekuwa mazuri zaidi kama hayatahusisha chama wala hitikadi yoyote, bali yawe kwa maslahi ya wananchi tu, tatizo wanataka kutuingiza mkenge kisa maslahi ya mtu au chama fulani.
 
Upo sawa kabisa na wasiwasi ndio akili tusije tukafa kwenye maandamo kumbe tunamfia lisu na chadema yake, bora tuwekwe bayana hiyo siku tunaenda kupambania nchi yetu au kumpambania Lisu na chadema.
Kabisa mkuu unajua watu wanafikiri uhai ni jambo la kuchezea unaingia barabarani unalambwa risasi kumbe unajipambania chadema ishike Dola nayo iwe kama ccm ni ujinga Bora nilale
 
Nyie wajinga wa CCM na chadema mtajijua wenyewe mnagombania madaraka Ili mtufanye mang'ombe yenu milele kulipa Kodi Bora muuane muishe shenzi kabisa wananchi tutaanzisha chama chetu sio huo ujinga wenu yaani maandamano ya chama chenu Cha chadema mnataka sisi wananchi tufe hiyo haipo siku ikifika sisi wananchi tutaifia nchi yetu ila sio kumfia lisu na chadema
Iwapo sii mmoja yamatapeli mliokataliwa sijui!
 
Usituchoshe. Wala hujaombwa ushiriki. Chawa wewe!
Sishiriki sababu nimegundua ni maandamano ya chadema na si ya wananchi siku maandamano yetu ya wananchi yakianza nitashiriki Kwa nguvu zote ila sio kumfia lisu na chadema washike dola
 
Ni ya chadema, hii ni baada ya kususa uchaguzi na kuona watanzania wanasonga mbele na suala Zima la uchaguzi wakaona walete uchochezi Ili kuwavuruga watanzania na kuleta taharuki. Hata Hivyo wamefeli, watanzania tunaenda kufanya uchaguzi kwa utulivu na amani.

Kama wanataka reform ndio washiriki uchaguzi wasubiri mwaka wowote watanzania watapoona Kuna sababu ya kufanya hiyo reform, hakuna shida.
 
Haya maandamano yangekuwa mazuri zaidi kama hayatahusisha chama wala hitikadi yoyote, bali yawe kwa maslahi ya wananchi tu, tatizo wanataka kutuingiza mkenge kisa maslahi ya mtu au chama fulani.
Unajua Mimi mwenyewe nimestuka haya majitu yanayohamasisha yote nayaona yanavaa nguo za chadema tu halafu yanasema maandamano ya wananchi ko na kumtaja lissu Kila mahali eti ndie rais ajaye Sasa watu mnaenda kwenye maandamano ya kitaifa mshaanza kuchagua rais ndio nikastuka hichi Cha kike sifanyi huo ujinga nilishaanda madumu 10 ya petroli Lita ishirini ila nimerudi nyuma Bora niyauze siku hiyo tarehe 29 nitakua nyumbani namwagilia bustani yangu tu
 
Mimi siungi mkono uchaguzi uchwara huu na siungi mkono maandamano Bora nilale Mimi ni mzalendo wa kweli
 
licha ya wa ccm sisi ambao hatuna vyama wanatufanya turudi nyuma maana lisu amekua ajenda Kila sehemu mpaka huyo mange kimambi anaehamasisha Kila mda kutaja lissu kama vile watanzania wote tunamkubali lissu
Watanzania wazalendo wa kweli, wote wanamkubali Lisu, siyo Lisu kama mtu bali yale anayoyasimamia, huku yeye Lisu binafsi akiwa amejitoa sadaka kwaajili ya haki za watanzania.

Ni wale dhulumati, watekaji na wauaji, waporaji wa rasilimali za nchi pekee ndio wasiokubali kile ambacho Lisu anakisimamia na kukipigania. Lisu kwa sasa anasimama kama alama ya haki kwa Taifa letu.
 
Kabisa aiwezekani atajwe mtu mmoja tena yupo hai waliokufa hawana thamani je yeye anathamani sana octoba nalala nimeshawastukia chadema wamewashindwa ccm kutoka a na uoga wao Sasa wanataka wananichi tupambanie chama chap hiyo haipo milele sifanyi huo ujinga
Mda ukifika kila mtu ataingia barabarani bila kushawishiwa na mtu
 
Ukombozi wa chadema huo sio wa tanzania full stop yaani ajenda lissu aachiwe halafu Mimi nikafe kisa mjinga mmoja sifanyi kazi hiyo

Mbona unavyoandika, unaonekana wazi umekuwa zaidi ya mjinga?

Wewe kama mmoja wao au ni mtoto wa wale watekaji na wauaji, au wale waporaji wa rasilimali za nchi, au wale binadamu dhulumati wa haki za Watanzania, tulia usubirie hukumu ya hao ndugu zako. Labda hukumu itakapowafikia, utapata nguvu ya kuandamana kuwaombea msamaha.
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Ni ya CDM tu ila kwa wasiojua watafata mkumbo tu
 
Watanzania wazalendo wa kweli, wote wanamkubali Lisu, siyo Lisu kama mtu bali yale anayoyasimamia, huku yeye Lisu binafsi akiwa amejitoa sadaka kwaajili ya haki za watanzania.

Ni wale dhulumati, watekaji na wauaji, waporaji wa rasilimali za nchi pekee ndio wasiokubali kile ambacho Lisu anakisimamia na kukipigania. Lisu kwa sasa anasimama kama alama ya haki kwa Taifa letu.
Siwezi kumkubali mjinga aliekua anafanya kazi ya kupinga anayoyafanya magufuli halafu nikamuita mzalendo hayo ni maandamano yenu chadema pambaneni na Hali zenu watanzania tutakua tunawafuatilia ITV mnavyokula rungu na mlivyokua waoga na ushirikiano zero mbona polisi watawachakaza mchakae
 
Back
Top Bottom