Kwani lisuu huwa anataja shida za nani au za waburundiJibu swali kwanini anatajwa lissu na chadema kwenye ajenda za maandamano kwanini zisitaje shida zinazotuhusu watanzania tu
Kwahiyo wanachadema sio Wanainch ww zuzu kweli unawashwawashwa na lissu kishenzi shida nini wivu wote Lissu kuwa mentioned kwan hujui ni public figure kwa upande wa wanainch weng wanaoonewa lissu ni mfano kati ya wengi au ulitaka watajwe woteKwahiyo nyie mnaona uovu anaofanyiwa lissu tu wengine waliosingiziwa kesi hamuwaoni kwakua lissu ni mwenyekiti wenu okay kumbe ni maandamano ya uovu wanaofanyiwa chadema na si wananchi waliopo nje ya chadema hongereni tarehe 29 ingieni barabarani peke yenu mkipate maana hata lisaa hamuwezi kuwatingisha polisi mtachezea rungu za kutosha kama pale mahakamani na mlivyokua waoga hamna ushirikiano kazi mnayo Hilo lenu wananchi halituhusu
Maandamani ni ya WANANCHI, CHADEMA HAIHUSIKI! CHADEMA NI WAANZILISHI WA NO REFORMS NO ELECTION, TOFAUTI NA HAPO MAANDAMANO NI YA WANANCHI!Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Cdm inahusikaje ss ndugu?Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Sikiliza wewe mpumb..avuMange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
Ingieni wenyewe chadema barabarani siku hiyo sisi hatuna huo mda wa kufa kwa ajili ya chadema na lissu washike dola hao ccm wakivurunda sisi kama wananchi tusio na chama tutaingia barabarani kuwatoa hapo lakini sio kushurutishwa na walafi wa madaraka chadema hiyo haipo kapigweni marungu peke yenu na mlivyokua hamna ushirikiano plus uoga kazi mnayoWakiwa wao pekee yao mtamkomoa nani? Kwani ccm inauza rasilimali za chadema mkuu? Ccm inauza raslimali za watanganyika wote yani wewe mwana ccm na watoto wako hata asiye na chama ccm haijari.
Ukienda kwenye hospital madawa hatupati wote wala huulizwi kama wewe ni kada wa ccm au chadema.
Maji wote tunapangana kwenye foleni asbh hadi jioni na maji hayatoki.
Ni mjinga pekee anaweza asione kuna haja ya kufanya mabadiliko pasina kujaji nani kasema
Uzuri hata ccm kwa ccm wanatekana hivyo sioni sababu ya wewe kusema maandamano ni ya chadema kikubwa ni kwamba je yana matinki haya maandamano?
Jibu ukilipata ingia barabarani.
Polepole kasema weee hakuna uchaguzi hadi Reformzifanyike(ccm)
Gwaji kasema wee (ccm)
Yule mchaga yeye hadi alimshitaki kabisa mgombea wa ccm naye ni (Ccm)
Kuna wananchi wengi tu wamesema kura hawapigi wala sio chadema wala Cuf ni watanzania.
Binafisi sioni shida ya nani kasema nani anahamasisha ninacho angalia je kuna umuhimu wa kudai katiba mpya ? Jibu ni ndio
Je kuna umuhimu wa kupinga rushwa iliyokisili hadi tunaonyeshwa dole la kati na watoto wa wakuu? Jibu ni ndio.
Je kuna ulazima wa kupinga utekaji? Jibu ni ndio!
Hapo siangalii nani kasema tuandame naangalia umuhimu wa kufany hivyo.
Mandarin imeenda
Mbuga za wanyama kwisha
Mapori kwisha migodi ndo kama alivyosema polepole na tunaona kwa macho yetu hatusimuliwi!
Basi kama Kila mtu anapigwa tuwaache ccm waendelee kuongoza kumbe huwa mnapinga ilimradi mmepinga kumbe ccm wanaongoza vizuri ila ni ulafi wenu wa madaraka octoba 29 nalalaYesu alipingwa hadi kusulubiwa mkuu. Hata lissu akiwa Rais leo atapingwa tu.
Sana sana kama hutaki kupingwa uwe malaika.
Kumbe ni maandamano ya kumpigania lissu aachiwe basi nendeni peke yenu nyie chadema si ndio mwenyekiti wenu mpigwe marungu Ili lissu aachiwe ila sio sisi watanzania tusio na vyamaSasa wewe hutaki Lissu achiwe?
Mange Kimambi hajawahi kuwa Chadema. Kila mtu wakiwemo ccm wanataka Lissu aachiwe.
Maandamano ni ya sisi wananchi.
Mange kimambi muanzilishi wa haya maandamano kichwa kumtaja lissu mwenyekiti wa chademaUlimsikia lini kiongozi wa Chadema katoa tamko la maandamano?
Hapo ni wananchi na kero zote za taifa..!!
Lissu anataja shida za chadema ndio maana alikua anampinga mzalendo magufuli Ili chadema wake madarakaniKwani lisuu huwa anataja shida za nani au za waburundi
Basi nendeni peke yenu wanachadema kwenye hayo maandamano tuwaone mnavyoshugulikiwa na mlivyokua waoga Mimi nitakua nawafuatilia lIve ITVKwahiyo wanachadema sio Wanainch ww zuzu kweli unawashwawashwa na lissu kishenzi shida nini wivu wote Lissu kuwa mentioned kwan hujui ni public figure kwa upande wa wanainch weng wanaoonewa lissu ni mfano kati ya wengi au ulitaka watajwe wote
Tushastuka hayo ni ya chadema nendeni wenyewe mkapigwe marungu na mlivyokua waoga msiokua na ushirikianoSikiliza wewe mpumb..avu
Ajenda sio Lisu kama unavyolazimisha hapa, zipo ajenda nyingi sana zenye uzito hiyo ya Lisu kuachiwa itakuwa ni matokeo tu baada ya makusudio makuu kutimia.. haya hizi hapa ajenda rasimi.
Mange Kila kukicha kumtaja lissu nenda kasome post zake tofauti na Hilo bangoView attachment 3482941
Mange na wanaohamasisha wanasema hivi.
Huyo muanzilishi wa maandamano kukicha kumtaja lissu kana kwamba ndio mtuhumiwa pekee tanzania anaeonewaCdm inahusikaje ss ndugu?
Watu wamefungiwa kufanya chochote kwenye hili wanaingiaje?
Soma vipepershi ndo utaelewa kuwa inapiganiwa tz sio mtu au chama