GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
M

msitufanye hatuna akili Kuna vipeperushi vimeandikwa lissu aachiwe wakati huyo ni mwenyekiti wa chadema Sasa hiyo ya lisu inahusiana vipi na sisi wananchi
Kwani wewe mkuu ni sababu ipi inayokufanya uandamane tarehe 29/10 tofauti na wale wa sababu ya Tundu Lissu?.
 
Kum
Kwani wewe mkuu ni sababu ipi inayokufanya uandamane tarehe 29/10 tofauti na wale wa sababu ya Tundu Lissu?.
Be agenda ni lissu okay siku hiyo nitapiga usingizi mzitooo uhai hauchezewi sababu ukiondoka haurudi
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Kwani maandamano ni ya Nini!? Je kinachowaafnya kuandamana wewe hakikuhusu au kinakuhusu!?

Kama kweli unaumia na kuteseka na maisha ya Sasa..hata CUF wakiitisha maandamano ya kidai Haki Toka junge nao...

Kwa Hali ilivyo Sasa hapa Tz na mambo yanayosemwa kama ni ya kweli ( japo ni ya kweli hupaswo kuambiwa hili) Toka kaandamane bila kujali wewe ni chama gani.

Na kingine inatakiwa kueleweka...Ishu sio Chamade, Wala CCM ..hata kama ccm watatawala.milele ila Haki iwepo na watu wasikilizwe.
 
Ishu sio chama na Kila siku anatajwa lissu na chadema pambaneni na Hali yenu tu nyie chadema tumestukia mchongo kwanza watu Gani Kila utawala mnapinga yaani magufuli mlimpinga sana Sasa pambaneni na demokrasia si ndio hii ya samia
 
Wakiendelea hivi Watajikuta wapo wao peke yao barabarani
Wakiwa wao pekee yao mtamkomoa nani? Kwani ccm inauza rasilimali za chadema mkuu? Ccm inauza raslimali za watanganyika wote yani wewe mwana ccm na watoto wako hata asiye na chama ccm haijari.

Ukienda kwenye hospital madawa hatupati wote wala huulizwi kama wewe ni kada wa ccm au chadema.

Maji wote tunapangana kwenye foleni asbh hadi jioni na maji hayatoki.

Ni mjinga pekee anaweza asione kuna haja ya kufanya mabadiliko pasina kujaji nani kasema

Uzuri hata ccm kwa ccm wanatekana hivyo sioni sababu ya wewe kusema maandamano ni ya chadema kikubwa ni kwamba je yana matinki haya maandamano?

Jibu ukilipata ingia barabarani.

Polepole kasema weee hakuna uchaguzi hadi Reformzifanyike(ccm)
Gwaji kasema wee (ccm)

Yule mchaga yeye hadi alimshitaki kabisa mgombea wa ccm naye ni (Ccm)

Kuna wananchi wengi tu wamesema kura hawapigi wala sio chadema wala Cuf ni watanzania.

Binafisi sioni shida ya nani kasema nani anahamasisha ninacho angalia je kuna umuhimu wa kudai katiba mpya ? Jibu ni ndio
Je kuna umuhimu wa kupinga rushwa iliyokisili hadi tunaonyeshwa dole la kati na watoto wa wakuu? Jibu ni ndio.

Je kuna ulazima wa kupinga utekaji? Jibu ni ndio!

Hapo siangalii nani kasema tuandame naangalia umuhimu wa kufany hivyo.

Mandarin imeenda
Mbuga za wanyama kwisha
Mapori kwisha migodi ndo kama alivyosema polepole na tunaona kwa macho yetu hatusimuliwi!
 
Ishu sio chama na Kila siku anatajwa lissu na chadema pambaneni na Hali yenu tu nyie chadema tumestukia mchongo kwanza watu Gani Kila utawala mnapinga yaani magufuli mlimpinga sana Sasa pambaneni na demokrasia si ndio hii ya samia
Yesu alipingwa hadi kusulubiwa mkuu. Hata lissu akiwa Rais leo atapingwa tu.

Sana sana kama hutaki kupingwa uwe malaika.
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.

Nani kakwambia unaenda kufa.

Mnawasingizia Chadema bure. Wao walisema No Reforms No Election. Hawakusema wanafanyaje. Samia na serikali yake wakaamua kuwakabili na kuwafungia kufanya siasa.

Hao waliotangaza tarehe na wanaompigania Lissu ni kwa utashi wao wenyewe.

Waoga wakikaa nyumbani na wasipige kura na wale mashujaa wakatoka mtaani wote watakuwa wamekamilisha lengo.
 
Mange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
Sasa wewe hutaki Lissu achiwe?

Mange Kimambi hajawahi kuwa Chadema. Kila mtu wakiwemo ccm wanataka Lissu aachiwe.

Maandamano ni ya sisi wananchi.
 
Nyie wajinga wa CCM na chadema mtajijua wenyewe mnagombania madaraka Ili mtufanye mang'ombe yenu milele kulipa Kodi Bora muuane muishe shenzi kabisa wananchi tutaanzisha chama chetu sio huo ujinga wenu yaani maandamano ya chama chenu Cha chadema mnataka sisi wananchi tufe hiyo haipo siku ikifika sisi wananchi tutaifia nchi yetu ila sio kumfia lisu na chadema
Kyumamakoye
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Umehama CCM?
 
Ulimsikia lini kiongozi wa Chadema katoa tamko la maandamano?

Hapo ni wananchi na kero zote za taifa..!!
 
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Kama huelewi kinachoendelea kaa nyumbani kata nyanya na vitungu hiyo show ya tarehe 29 achana nayo
 
Sisi sio manyumbu lazima tuhoji kama vipi muingie wenyewe chadema tuone kama mtaweza kuandamana hata lisaa limoja tu bila kusambaratishwa
Wewe tulia tu nyumbani, waache wanaoona umuhimu wa maandamano waandamane. Hakuna anayelazimishwa kwa mtutu wa bunduki kwenda kuandamana.
 
wewe ulisikia wapi kuna maandmano? acha kukariri stori za mitandaoni
 
Jibu swali kwanini anatajwa lissu na chadema kwenye ajenda za maandamano kwanini zisitaje shida zinazotuhusu watanzania tu
Nadhani ni kutokana na mazingira ya kisiasa aliyopitia kiongozi huyu kiasi cha wananchi kuamini kwamba ni kiongozi ambaye anauwezo wakuwatetea dhidi ya tawala kandamizi #MTAZAMOTU.
 
Mandamano ya wananchi hawawekagi tarehe yanalipuka tu mandamano ya wanasiasa ndo yanakuwaga na tarehe linakili hilo mandamano ya nepal gen z waliandamana serikali ilipoanguka gen z wakapga kura wakamchagua yule mama aongoze ila haya ya huku mara tal achiwe mara heche tulia subiri kuapishwa utadhan watu wote tunawakubali kina heche mm binafs ccm sielew na hao wngne siwaelew ikitokea ccm imeanguka ningependa sana jeshi lichukue madaraka na lipge marufuku vyama vya siasa tuongozwe kijeshi tu
 
Back
Top Bottom