HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

HOJA Hivi haya masharti ya Bodi ya Ithibati ni kwa Media za Dar na zile kubwa pekee?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha.

Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama wana ‘media’ zao basi huku vitu vinaenda vinayopelekwa kwa wahusika.

Mfano, Wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma kuna vituo vinne ambavyo asilimia kubwa walioajiriwa wengi kwa ajili ya kazi ya Habari hawana sifa ambazo Bodi ya Ithibati inaelekeza au inataka.
 
Mpaka wavulunde au waguse maslahi ya wakubwa ndio watafuatiliwa, kwasasa wako huru na biashara zao.
 
Back
Top Bottom