Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuconfirm doubt yangu..huyu sio mwenzenu....
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1147691/
Nguo zimeacha kunata kwenye kishundu..?!in short ww huendag mpirani hayo ndo unayo yafuatagaaa kuangaliaaaa wanayofanyaa maselaaa sasa ww kama umefataa mpiraa kwann usiangaliee mpiraa tenaa kwanziaa leo ntaanza kwendsa kumbe kuna watu wanaonyeshana mikuyenge aiseeee asante saana katikaa vitu napendaa kuona ni mikuyengee.......sasa kama ww hupendi usiendeee mimi nime confirm from today nitaendaa kwa ajili ya hayo uliyo yataja ilaa ww muongo khaaa!mtu anajambaa unamsikia wakat mpiraa unaendeleaaa we kiboko ,tuliaa kwako fuaa boxer na socks huo muda unaoendaa uwanjani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ntakupigja?????? [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] nimetoka kapa .... mtanielewesha mtakaoelewa huu uzi
Niseme tu ukweli na bila kuficha au kuwa ' Mnafiki ' ninachokiona katika haya ' Mashindano ' ya Ndondo Cup si vitendo vya ' Kimaadili ' kabisa hasa katika ' Jamii ' yetu ambayo ilianza ' Kustaarabika ' miaka mingi huko nyuma wakati wa enzi za akina Babu na Bibi zetu.
Ama hakika ukisema uende kutizama ' mechi ' huko ukiwa na ama Mkeo au Mwanao tegemea kupata aibu kubwa na ' Kustaajabu ' kwani Vitendo vingi ambavyo nimekuwa nikiviona huko ( katika Viwanja mbalimbali ambapo mashindano haya yanafanyika ) nimekuwa nikiviona sana katika ' Vijiwe ' vya ' bangi / bange ' na kule ambako ' Njemba ' zingine huenda Kunywa Gongo, Wanzuki na Mataputapu.
Kinachonishangaza ' Upuuzi / Upupu ' huu unaendelea na naona sasa unazidi kujizolea ' Sifa ' na tayari umeshaanza kuharibu Kizazi / Jamii lakini Wahusika wakuu wa ufuatiliaji wa ' mienendo ' ya Maadili nchini ' wameunyuti / wamenyamaza ' tu wakidhani kwamba pengine ' Kizazi ' hiki kikiharibika huko mbele ya safari labda ' Vizazi ' vyao havitaguswa au kuathirika kwa namna moja au nyingine.
Napenda sana Mpira na achilia mbali tu kuwa nimeshakuwa ' Mchezaji ' mpira tena mzuri tu kwa Viwango vya Shule, Vyuoni na Kitaani na nawaheshimu mno ' Waandaji ' wa haya ' Mashindano ' hasa ' Makamarada ' wangu akina Shaffih Kajuna Dauda, Alex Luambano na wengineo wote ila nadhani hili la ' Nidhamu ' na ' Maadili ' inabidi waliangalie sana ikiwezekana waanze sasa au kwa misimu ijayo ili iweze kutuvutia Watu wengine kuhudhuria pamoja na Wanafamilia wetu.
Yafuatayo tu ni baadhi ya ' matukio ' ya kusikitisha na kushangaza ambayo kama ukibahatika umeenda kushuhudia ' mashindano ' haya ya Ndondo Cup huwezi kuyakosa:
Uvunjifu mkubwa sana wa ' Maadili ' unaendelea katika hii michuano ya Ndondo Cup hivyo udhibiti wa haraka unahitajika kuweza ' Kuokoa ' hiki ' Kizazi ' na tukumbuke kuwa ' Wahenga ' walisema " Kinga ni bora kuliko tiba ".
- Mashabiki ' Masela ' Kunya ( kutoa haja Kubwa ) hadharani.
- Mashabiki ' Masela ' Kuoga mbele ya Wageni rasmi.
- Mashabiki ' Masela ' Kunyoa ' mavuzi ' yao hadharani.
- Mashabiki ' Masela ' Kushindanishana ' Mikuyenge / Mibolo ' yao mechi ikiendelea.
- Mashabiki ' Masela ' Kuvuta ' Sigara Bwege / Bangi / Puje / Jani ' hadharani.
- Mashabiki ' Masela ' Kushindana ' Kujamba ' hadharani huku mechi ikiendelea.
- Mashabiki ' Masela ' kuwaringishia ' Mikuyenge / Mibolo ' yao wale akina Dada wanaopita Kuuza vitu mule ambapo ' Mashabiki ' wameketi.
Nawasilisha.
Kwani na huko Pueto Rico kuna ndodo cup? au unaongelea ndodo ya wapi manake tujuavyo wewe ni mkimbizi unayefanya vibarua kwenye nyumba za watu huko nchi za nje.Niseme tu ukweli na bila kuficha au kuwa '
Nawasilisha.
in short ww huendag mpirani hayo ndo unayo yafuatagaaa kuangaliaaaa wanayofanyaa maselaaa sasa ww kama umefataa mpiraa kwann usiangaliee mpiraa tenaa kwanziaa leo ntaanza kwendsa kumbe kuna watu wanaonyeshana mikuyenge aiseeee asante saana katikaa vitu napendaa kuona ni mikuyengee.......sasa kama ww hupendi usiendeee mimi nime confirm from today nitaendaa kwa ajili ya hayo uliyo yataja ilaa ww muongo khaaa!mtu anajambaa unamsikia wakat mpiraa unaendeleaaa we kiboko ,tuliaa kwako fuaa boxer na socks huo muda unaoendaa uwanjani
na bado sijui lini utafanyaa yako manake yangu yamekuvaaa unatembeaa nayo fanyaa yako yangu hutayawezaahuyu sio mwenzenu....
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1147691/
hahahahah lazimaa kiwe kipiritoni wenye nayo huwa hawaonyeshiCheichei ,njoo nikuonyeshe langu
zitaachaje wakati hujanipaa.dawaaaa?Nguo zimeacha kunata kwenye kishundu..?!
hakawii kuchambia taulo,kumbe unawajua masela.Masela n wakuwavumilia tu...upate ugen wa masela wawil katka geto lako ndio utajua nn nnachosema maana ya kuwavumilia tu
hahahahah lazimaa kiwe kipiritoni wenye nayo huwa hawaonyeshi
huwa hawatangazNna casava la tekno
Chu chu chuuu...zitaachaje wakati hujanipaa.dawaaaa?
MTOTO WA KIUME UNAPENDA MIKUYENGE YA WENZIO WE NI BWABWA KABISAin short ww huendag mpirani hayo ndo unayo yafuatagaaa kuangaliaaaa wanayofanyaa maselaaa sasa ww kama umefataa mpiraa kwann usiangaliee mpiraa tenaa kwanziaa leo ntaanza kwendsa kumbe kuna watu wanaonyeshana mikuyenge aiseeee asante saana katikaa vitu napendaa kuona ni mikuyengee.......sasa kama ww hupendi usiendeee mimi nime confirm from today nitaendaa kwa ajili ya hayo uliyo yataja ilaa ww muongo khaaa!mtu anajambaa unamsikia wakat mpiraa unaendeleaaa we kiboko ,tuliaa kwako fuaa boxer na socks huo muda unaoendaa uwanjani
Huyu anazingua soma vitu alivo post ndo utadhihirisha si mwenzetuKijana unapenda kuangalia mikuyenge ya wanaume wenzako....we mwenzetu kweli?
Kabisaa nmepitia post zake hafai kuigwa na jamiihuyu sio mwenzenu....
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1147691/