Hivi haya mashindano ya Ndondo Cup ni ya kuibua Vipaji au yanaibua Wahuni wa muda mrefu waliotukuka?

Hivi haya mashindano ya Ndondo Cup ni ya kuibua Vipaji au yanaibua Wahuni wa muda mrefu waliotukuka?

in short ww huendag mpirani hayo ndo unayo yafuatagaaa kuangaliaaaa wanayofanyaa maselaaa sasa ww kama umefataa mpiraa kwann usiangaliee mpiraa tenaa kwanziaa leo ntaanza kwendsa kumbe kuna watu wanaonyeshana mikuyenge aiseeee asante saana katikaa vitu napendaa kuona ni mikuyengee.......sasa kama ww hupendi usiendeee mimi nime confirm from today nitaendaa kwa ajili ya hayo uliyo yataja ilaa ww muongo khaaa!mtu anajambaa unamsikia wakat mpiraa unaendeleaaa we kiboko ,tuliaa kwako fuaa boxer na socks huo muda unaoendaa uwanjani
Nguo zimeacha kunata kwenye kishundu..?!
 
Ndiyo maana ya ndondo cup hiyo
?????? [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] nimetoka kapa .... mtanielewesha mtakaoelewa huu uzi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ntakupigja
Niseme tu ukweli na bila kuficha au kuwa ' Mnafiki ' ninachokiona katika haya ' Mashindano ' ya Ndondo Cup si vitendo vya ' Kimaadili ' kabisa hasa katika ' Jamii ' yetu ambayo ilianza ' Kustaarabika ' miaka mingi huko nyuma wakati wa enzi za akina Babu na Bibi zetu.

Ama hakika ukisema uende kutizama ' mechi ' huko ukiwa na ama Mkeo au Mwanao tegemea kupata aibu kubwa na ' Kustaajabu ' kwani Vitendo vingi ambavyo nimekuwa nikiviona huko ( katika Viwanja mbalimbali ambapo mashindano haya yanafanyika ) nimekuwa nikiviona sana katika ' Vijiwe ' vya ' bangi / bange ' na kule ambako ' Njemba ' zingine huenda Kunywa Gongo, Wanzuki na Mataputapu.

Kinachonishangaza ' Upuuzi / Upupu ' huu unaendelea na naona sasa unazidi kujizolea ' Sifa ' na tayari umeshaanza kuharibu Kizazi / Jamii lakini Wahusika wakuu wa ufuatiliaji wa ' mienendo ' ya Maadili nchini ' wameunyuti / wamenyamaza ' tu wakidhani kwamba pengine ' Kizazi ' hiki kikiharibika huko mbele ya safari labda ' Vizazi ' vyao havitaguswa au kuathirika kwa namna moja au nyingine.

Napenda sana Mpira na achilia mbali tu kuwa nimeshakuwa ' Mchezaji ' mpira tena mzuri tu kwa Viwango vya Shule, Vyuoni na Kitaani na nawaheshimu mno ' Waandaji ' wa haya ' Mashindano ' hasa ' Makamarada ' wangu akina Shaffih Kajuna Dauda, Alex Luambano na wengineo wote ila nadhani hili la ' Nidhamu ' na ' Maadili ' inabidi waliangalie sana ikiwezekana waanze sasa au kwa misimu ijayo ili iweze kutuvutia Watu wengine kuhudhuria pamoja na Wanafamilia wetu.

Yafuatayo tu ni baadhi ya ' matukio ' ya kusikitisha na kushangaza ambayo kama ukibahatika umeenda kushuhudia ' mashindano ' haya ya Ndondo Cup huwezi kuyakosa:

  1. Mashabiki ' Masela ' Kunya ( kutoa haja Kubwa ) hadharani.
  2. Mashabiki ' Masela ' Kuoga mbele ya Wageni rasmi.
  3. Mashabiki ' Masela ' Kunyoa ' mavuzi ' yao hadharani.
  4. Mashabiki ' Masela ' Kushindanishana ' Mikuyenge / Mibolo ' yao mechi ikiendelea.
  5. Mashabiki ' Masela ' Kuvuta ' Sigara Bwege / Bangi / Puje / Jani ' hadharani.
  6. Mashabiki ' Masela ' Kushindana ' Kujamba ' hadharani huku mechi ikiendelea.
  7. Mashabiki ' Masela ' kuwaringishia ' Mikuyenge / Mibolo ' yao wale akina Dada wanaopita Kuuza vitu mule ambapo ' Mashabiki ' wameketi.
Uvunjifu mkubwa sana wa ' Maadili ' unaendelea katika hii michuano ya Ndondo Cup hivyo udhibiti wa haraka unahitajika kuweza ' Kuokoa ' hiki ' Kizazi ' na tukumbuke kuwa ' Wahenga ' walisema " Kinga ni bora kuliko tiba ".

Nawasilisha.
 
Niseme tu ukweli na bila kuficha au kuwa '

Nawasilisha.
Kwani na huko Pueto Rico kuna ndodo cup? au unaongelea ndodo ya wapi manake tujuavyo wewe ni mkimbizi unayefanya vibarua kwenye nyumba za watu huko nchi za nje.
 
Number moja alisema bora aende kuangalia Ndondo kuliko kwenda Taifa
 
in short ww huendag mpirani hayo ndo unayo yafuatagaaa kuangaliaaaa wanayofanyaa maselaaa sasa ww kama umefataa mpiraa kwann usiangaliee mpiraa tenaa kwanziaa leo ntaanza kwendsa kumbe kuna watu wanaonyeshana mikuyenge aiseeee asante saana katikaa vitu napendaa kuona ni mikuyengee.......sasa kama ww hupendi usiendeee mimi nime confirm from today nitaendaa kwa ajili ya hayo uliyo yataja ilaa ww muongo khaaa!mtu anajambaa unamsikia wakat mpiraa unaendeleaaa we kiboko ,tuliaa kwako fuaa boxer na socks huo muda unaoendaa uwanjani

Cheichei ,njoo nikuonyeshe langu
 
MTOTO WA KIUME UNAPENDA MIKUYENGE YA WENZIO WE NI BWABWA KABISA
MOST OF THREAD ZAKO NA COMMENT ZAKO ZINADHIHIRISHA HLO JIREKEBISHE
 
Back
Top Bottom