Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

Nilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.
Alivyotemea mate na kufuta linavyojua kung'aa sasa kama kioo 🤭😆😆😆
 
We hilo tufaa limechumwa Rasi ya Tumaini Jema Mwaka jana Disemba mpaka Leo Agosti 2022 bado lipo na haliozi...hujiulizi?...mwishowe tuanze kusumbuana michango humu...maparachichi ya Tukuyu hamtaki mnajikuta wa mjini
 
Mkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.
 
Nilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.
Ndio maana mnashauriwa kabla ya kula tunda lolote lioshe kwa maji safi.
 
Sema tena na tena! Achana na huo uchafu wa South. Mimi napenda yale ya Tanga. Mimi haya mambo ya kilimo cha kisasa cha nchi zilizoendelea products zake huwa hazinivutii kama zinazolimwa local.
Hayo matunda tunakula uchafu tu.
Hatujui yanatunzwa kwa kuwekewa dlawa gan na madhara yake mwilini.
Yafaa kula matunda fresh toka shama
 
Mkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.

Apple kutoka south mpaka hapa inawekwa kwenye cooling trucks

Na wakizipokea hazikai muda unakuta zimeshaingia sokoni na kuuzika
 
Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,

Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.

Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa

Mjini kuzuri.
Ni kwamba hayo ni yale yaliyokaa muda mrefu kwenye friji huko supermarket kubwa kwahiyo hao wanapewa kama reject kuja kuuza yale fresh uwezi pata bei hiyo mkuu
 
Ni mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,

Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.

Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa

Mjini kuzuri.
Kuna kipindi nilisikia watu wakidai hizo apple zinachomwa zile sindano za kuzuia maiti isioze, na zinakaa muda mrefu sana bila kuharibika
 
Back
Top Bottom