N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Yanagongwa kemikali kali sana...maiti wako pale mochwari Muhimbili ukilipa hela nzuri anagongwa dawa hata miezi 6 anakaa...sasa kama dawa hiyo ktk mfanano wake ndo inawekwa kwenye 🍎 kuna usalama hapo swahiba!?....Take ma Apple ya Muheza na Njombe na Maparachichi ya Tukuyu yako very freshMkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.