raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Alivyotemea mate na kufuta linavyojua kung'aa sasa kama kioo π€πππNilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.
Feri paleWapi huko 300!? Maana Kuna mafala wananipiga buku
Hii itakuwa chai, apple lililosimama kwa 300 labda kama tunayalima wenyewe hapo kigamboni.300???? Seriously????!!!!?!!
Mkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.We hilo tufaa limechumwa Rasi ya Tumaini Jema Mwaka jana Disemba mpaka Leo Agosti 2022 bado lipo na haliozi...hujiulizi?...mwishowe tuanze kusumbuana michango humu...maparachichi ya Tukuyu hamtaki mnajikuta wa mjini
Yale ya Tanga ni madogo madogo matam Sana. Sijui kwanini kile kilimo hakijawa cha kibiasharaYatakuwa yale ya Tanga wameyagonga sticker [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakina MONSATO wanafanya mengi sana sana kwenye kilimo.G.M.O
Ndio maana mnashauriwa kabla ya kula tunda lolote lioshe kwa maji safi.Nilivoonaga siku mtu anayapukuta na kitambaa pale Ubungo, hafu kitambaa anakitemea mate ili kilowane. Sinunui tena. Sio apple sio zabibu.
Sema tena na tena! Achana na huo uchafu wa South. Mimi napenda yale ya Tanga. Mimi haya mambo ya kilimo cha kisasa cha nchi zilizoendelea products zake huwa hazinivutii kama zinazolimwa local.Yale ya Tanga ni madogo madogo matam Sana. Sijui kwanini kile kilimo hakijawa cha kibiashara
Hayo matunda tunakula uchafu tu.Sema tena na tena! Achana na huo uchafu wa South. Mimi napenda yale ya Tanga. Mimi haya mambo ya kilimo cha kisasa cha nchi zilizoendelea products zake huwa hazinivutii kama zinazolimwa local.
Mkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.
Kweli mkuuWakina MONSATO wanafanya mengi sana sana kwenye kilimo.
Kiufupi ni kazi ngumu sana kuwakwepa.
Tumsikilizie bashe atasemajeYale ya Tanga ni madogo madogo matam Sana. Sijui kwanini kile kilimo hakijawa cha kibiashara
kama shida bei supa maketi bei ni buku .Alivyotemea mate na kufuta linavyojua kung'aa sasa kama kioo π€πππ
Ni kwamba hayo ni yale yaliyokaa muda mrefu kwenye friji huko supermarket kubwa kwahiyo hao wanapewa kama reject kuja kuuza yale fresh uwezi pata bei hiyo mkuuNi mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,
Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.
Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa
Mjini kuzuri.
Kuna kipindi nilisikia watu wakidai hizo apple zinachomwa zile sindano za kuzuia maiti isioze, na zinakaa muda mrefu sana bila kuharibikaNi mgeni hili jiji baada ya kutoka mikoani,
Nachojiuliza hivi kuna usalama wa haya matunda aina ya apple kwa maana naona sasa hivi bei yake imeshuka sana.
Yaan apple zamani kula buku ila sasa mpaka sh 300 tena yale yale ya Sauzi. Je, huko Sauz kumetokea nini? Bei kushuka hivi kwa maana sasa apple wala ukila hushtui watu bei ipo chini sana tena makubwa makubwa
Mjini kuzuri.
Au ni bei ya huko wanakoyalima??Hii itakuwa chai, apple lililosimama kwa 300 labda kama tunayalima wenyewe hapo kigamboni.