Hivi haya matufaa (apple) yana usalama kweli?

Mkuu ni teknolojia ipi wanaitumia kuyahifadhi haya ma apple kwa muda mrefu, au wanayapiga kemikali? maana tusije tukawa tunafurahia tu bei chee kumbe jamaa wanaleta zile ambazo ni reject huko kwao.
Yanagongwa kemikali kali sana...maiti wako pale mochwari Muhimbili ukilipa hela nzuri anagongwa dawa hata miezi 6 anakaa...sasa kama dawa hiyo ktk mfanano wake ndo inawekwa kwenye 🍎 kuna usalama hapo swahiba!?....Take ma Apple ya Muheza na Njombe na Maparachichi ya Tukuyu yako very fresh
 
Hey my name is Thomas. Tupiako basi kapicha tukuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…